Wale ambao hatujagegedwa mwaka huu tukutane hapa

Wale ambao hatujagegedwa mwaka huu tukutane hapa

Uchumi Tena?
raisi wenu wa Tz anataka mfyatue watoto wawe wengi ili uchumi ukue uoni huu mwaka maybe ungekua hata na tumapacha tuwili tumboni tunarukaruka... hata hivyo wataalamu wanasema ni vizuri kuipa space nanii ili ijitengeneze vizuri na kurepair michubuko na cell zilizokufa na kufifia mara kwa mara zikuje mpya ni mpango mzuri naamini ukirudi kwenye game 2020 kama ni plan yako utaona utofauti... relax


(mada 3 maelezo 1)😴
 
Sex sio lazima ila mwili ukichemka unaweza kumtamani hata mbuzi
But you know what my fellow 2019 virgin,
Simama katika value na principles zako
Miss Natafuta bana sijui huwa anawaza nini,anyway muda si mrefu nitakuja Dar nikuone.
 
Kama upo kile chama sawa, ila kama haupo kule CHAPUTA utakuwa umegegedwa
 
Uchumi Tena?
Magufuli alisema ili kuwepo na maendeleo (nchi kuwa tajiri) lazima watu wawe wengi yaani wazaliane sana. Akatoa mfano China. China imeendelea kwa sababu wapo wengi. Sasa wewe unaifungia papuchi kabatini unafikiri lini tutafikia uchumi wa kati?
 
Back
Top Bottom