TCU yatoa majina ya waliopata vyuo raundi ya kwanza ya udahili

Mkuu salama. Tumeingia msimu mwingine wa udahili na confirmation code I hope mambo yatakuwa poa mwaka huu.

Naamini kila mwaka changamoto zitakua zinaenda zikipungua. Acha tuone. Ila itakua si sawa kupitia changamoto zilezile za mwaka jana hasa kwenye tatizo la hawa wanaochaguliwa chuo zaidi ya kimoja kuziba nafasi za wengine.
 
Aangalie kwenye vyuo alivyoapply, huko wameweka selection status

Kama huko hajapata chuo hata kimoja basi itabidi aapply round II
Hii ipo vp wadau kwamba ambaye hayupo hapo aombe tena?? Au??
 
Aangalie kwenye vyuo alivyoapply, huko wameweka selection status

Kama huko hajapata chuo hata kimoja basi itabidi aapply round II.
Hii ipo vp wadau kwamba ambaye hayupo hapo aombe tena?? Au??
 
Hv ni sababu zipii zinaweza kupelekea usichaguliwe na chuo fulani. Wakat ukiangalia qulaifications wanazotaka Unazo kubwa sanaa.
Kuna mdau ana idea
 
Hv ni sababu zipii zinaweza kupelekea usichaguliwe na chuo fulani. Wakat ukiangalia qulaifications wanazotaka Unazo kubwa sanaa.
Kuna mdau ana idea
Competitions and admission capacity! Hata chuo kikisema idadi ya pointi ni nne,kumbuka wapo watu wengi wenye nne na nafasi ni chache! Wakati mwingine chuo kinaweza kikawa hakijajaa na ukakiona kipo kwenye second round ila wewe umekosa. Hapo ujue kwamba wametunza nafasi kwa watakaoomba tena na wakawa na sifa bora zaidi!Mfano,pointi zinazohitajika ni nne,lakini wakati wanadahili wapo wengi wenye zaidi ya nne kwa iyo wanapandisha pointi na unajikuta wewe mwenye nne kamili umekosa.
 
Ooi wana.. Hivi kama mtu keshachaguliwa alafu hakuridhia kwa sababu zake binafsi anaweza akaomba teeena au system zinamkataa???

Kuna dogo mangu saana... Kozi anayoipenda aliiweka chagua la pili kwa kuwa ataikosa ya kwanza apewe ya pili.. Matokeo yake kateuliwa ya kwanza ambayo haipend.. Anahaha kuichomoa..
 
Consideration huwa ni chaguo la kwanza, ni ngumu kupewa chaguo la pili wakati kuna watu kwao ni chaguo la kwanza.
Cha kumshauri aende chuo ataomba kubadili program.

Hii list man ... Yenyewe au magumashi.

Kuna dogo nimemchek hapo juco sijamuona... Ila ye alikuwa selected vyuo zaid ya kimoja..

Au hao mpka wakiconfirm ndio wanawekwa kwenye list?
 
Shukran mkuu.. Ngoja akakaze tu.. Ila msee ni maumbufu buure tu, lengo lake kuu ni degree na sio soko la ajira, sasa sijui anakitaka nin, wandanganyana saana wakikutana mitaani

Alichokiamini yeye kwa kuwa kachaguliwa ya kwanza basi za chini zoote anaweza kuzipata... Nikamwambia haipo hivyo kila kozi ina idadi yake ya watu. Kuwa chaguo lako la pili haina maana kuwa sio bora ila bado haelew dogo
Consideration huwa ni chaguo la kwanza, ni ngumu kupewa chaguo la pili wakati kuna watu kwao ni chaguo la kwanza.
Cha kumshauri aende chuo ataomba kubadili program.
 
Angalia huu mfano hapa utaelewa kwa urahisi sana.
Hv ni sababu zipii zinaweza kupelekea usichaguliwe na chuo fulani. Wakat ukiangalia qulaifications wanazotaka Unazo kubwa sanaa.
Kuna mdau ana idea
Screenshot_20190820-003001.jpeg
Screenshot_20190820-003009.jpeg
 
Hawa ndio waliopata vyuo katika raundi ya 1 ya kuomba vyuo.

Aidha kwa wale waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja wanapaswa kuthibitisha chuo kimoja kwa kutumia kodi maalumu watakazotumiwa kwenye namba/barua pepe zao.
Non multiple selected applicants????
 
Back
Top Bottom