Recent content by ALU-MASOLI

  1. ALU-MASOLI

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amemteua Profesa Florens Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

    Hongera zake. Akatende kazi ya kuwatumikia Watanzania
  2. ALU-MASOLI

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu BAWACHA kutoka Mlimani city

    He is logical a bit ila inabidi tiache ule uchama zaidi na kufocuss national interest
  3. ALU-MASOLI

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Kakobe aongoza maandamano ya Kanisa lake

    What impact has he made to the society
  4. ALU-MASOLI

    JamiiForums Tanzania Uganda yaishutumu Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete juu ya EAC

    Wanatu'undermine sana haawa jamaa its time to stand up and fight for what we believe and we are capable of. Lets not be driven.....
  5. ALU-MASOLI

    JamiiForums Tanzania DOCTOR: Kwa Damu yako hii na Mke wako, Kamwe Hamuwezi kupata mtoto/watoto!

    You are details are true mkuu, thats waht I do understand too. Ila hiyo fact ya doctor i dont know for real. Kimsinginahisi kuna masuala mengine ila ishu ya blood groups kuwa sawa mhhhhh.....lets make more indepth research and see............ :)
  6. ALU-MASOLI

    JamiiForums Tanzania Fatma Almasi Nyangasa kuwa makini, aliye karibu na rais ni mkuu wa jeshi la ulinzi

    ulimi hauna mfupa ila next time aconcentrate anapokuwa kazini
  7. ALU-MASOLI

    JamiiForums Tanzania Vichwa vya hadithi enzi hizo premary

    Siku ya gulio katerero
  8. ALU-MASOLI

    JamiiForums Tanzania Huyu dada yangu nimeshindwa kumwelewa kabisaa.

    Be straight with her if u want to help her help her in the way u'r conscious tells u its right
  9. ALU-MASOLI

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    Hii ndio tanzania yetu lets fight for the right thing ila tusifuate mkumbo coz kuitafuta haki in the wrong way is also wrong
  10. ALU-MASOLI

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Kilichotokea Chuo cha Uhasibu Arusha, Lema alivyowatuliza wanachuo

    Sijaiona hii video may be check vizuri na uwe sure na hi link
  11. ALU-MASOLI

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu zoom tanzania kabla sijafanya maamuzi

    Before doing anything or taking any legal or other measure kasome kwanza terms and conditions za kutumia link ya zoom halafu unaweza ukaongea nao kuhusu privacy ya CV zetu coz unaweza kuchukua hatua kumbe kila kitu kiko open kwenye terms and conditions. So better do that and see to them first...
  12. ALU-MASOLI

    JamiiForums Tanzania Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

    any way angetoa ushauri tu kwamba maambukizi sasa yako juu generally bila kurefer clients wake nna wasiwasi anaweza kukutajia kabisa ni kina nani hao walioenda kupima kwake confidentiality is needed the most
  13. ALU-MASOLI

    JamiiForums Tanzania Anahitajika accountant

    Jina la kampuni kaka am sorry for asking but ishatokea tunatuma cv to untrusted people af wanaanza kusumbua kwenye eamil zetu na kutupigia cm kwa mambo yasiyo na mantiki
  14. ALU-MASOLI

    JamiiForums Tanzania Selection upload TCU

    Tupia ya MBB na Geology mkuu
  15. ALU-MASOLI

    JamiiForums Tanzania Waziri Bernard Membe kalipotosha Bunge kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa

    Lazima tupiganie haki yetu
Back
Top Bottom