Anahitajika accountant

sunguruma

Member
Sep 14, 2012
34
6
habari wanajavini kuna kampuni ya ukandarasi wa umeme,majengo yenye ofisi zake Dar-es-salaam lakini inafanya kazi kila mkoa inatemeana na kazi ilipo patikana inahitaji Accountant mwenye vigezo vifuatavyo

Awe na Degree au Diploma ya Accountant
Awe anajua kutumia accounting Package kama Quick Book au Tally

mshahara nimakubaliano na inategemeana na utendaji kazi wako na sio cheti chako

Note:mwenye vigezo hivyo atume cvs yake kwa zeprezidar@gmail.com huyo mtu anatakiwa haraka kujaza nafasi hiyo. Accountant aliye kuwepo ameondoka kwahiyo tumepewa hilo jukumu la kumtafuta mtu wa kuzima nafasi

Samahani kwa tangazo kama litakuwa na mapungufu lakini mwenye vigezo atume maombi yake hapo.

Please kama hujui kutumia accounting package/software usiombe
 
you must be kidding....yaani Degree ni equivalent to Diploma!!!

kwa mara ya kwanza naona tangazo lenye kuhitaji competence ya aina hii...its too LOW am afraid!!!
 
Jina la kampuni kaka
am sorry for asking but ishatokea tunatuma cv to untrusted people af wanaanza kusumbua kwenye eamil zetu na kutupigia cm kwa mambo yasiyo na mantiki
 
Hii email ni ya kampuni ya mfukoni lazima.
No Company name,
No Address,
No deadline

Ushuzi mtupu....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom