Naombeni ushauri kuhusu zoom tanzania kabla sijafanya maamuzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni ushauri kuhusu zoom tanzania kabla sijafanya maamuzi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Babu wa Loliondo, Oct 18, 2012.

 1. Babu wa Loliondo

  Babu wa Loliondo JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 297
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Habari wanaJamii,
  Naombeni ushauri wenu kuhusu hawa ZOOM Tanzania ,leo katika pita pita zangu kwenye mtandao wa google,nikakuta CV yangu ambayo niliitumia kuomba kazi kati ya kazi ambazo hua wanatoa kwa kutumia link ya e-mail wanayoonesha kwenye nafasi husika.
  Hata wewe hapo ulipo fungua ukurasa wa GOOGLE kisha andika neno hili "zoomtanzania cv " kisha tafuta,itakuletea CV za watu wengi sana si ajabu na ya kwako inaweza ikawepo....Ushauri ninaomba kwenu ni kua niwachukulie hatua za kisheria kwa kuweka wazi (publish) taarifa zangu binafsi bila ya ruhusa yangu au kama kuna sheria inayoruhusu CV au taarifa binafsi za mtu kuanika kwenye mtandao bila ya mhusika kujua ambayo mm siijui naomba pia kujuzwa!!

  Asanteni,
  Naomba kuwasilisha!
   
 2. kyannala nabiso

  kyannala nabiso JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  asante sana dada inawezekana hata yakwangu ipo
   
 3. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ukiwa kama mtanzania katiba ya Tanzania inataka privacy yako iheshimiwe, pia sheria ya TCRA na EPOCA ambayo inadeal na electronic communication pia zinaheshimu privacy ya mtu kwenye electronic communication. Hiyo ni general rule ila kwenye sheria kuna kitu kinaitwa parties autonomy(makubaliano ambayo watu huingia na kuridhia wenyewe), sasa nikija kwenye swala lako kwa Zoom, unasema uliona kazi ukapost kwa kutumia email link, je kabla ya kupost ulisoma TERMS OF USE ZA ZOOM na pia je ulisoma PRIVACY POLICY YA ZOOM. Zoom wanasema ukipost content yoyote kwenye link yako IS AT YOUR OWN RISK ila privacy policy za zoom zinasema wataheshimu privacy yako unless iwe disclosed for good reasons au required by law(hapo pima mwenyewe). Umeiona CV yako zoom lakini ulisoma agreement yako na zoom?, kwa kuangalia website tu ya zoom au kusoma am kupost maana yake unakubaliana na masharti yao.
  N.B
  Mimi siyo muhusika wa zoom ila nimechanganua kutokana na upeo wangu wa sheria hususani katika COMPUTER LAW/INTERNET LAW, nipo tayari kwa kukoselewa na ushauri. Pia usipost au kutumia kitu kala hujasoma terms of agreement.

  HAPA SOMA
  TERMS OF USE
  1.ZoomTanzania | Terms of Use

  PRIVACY POLICY
  2.ZoomTanzania | Privacy Policy
   
 4. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  umejitahidi
   
 5. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  sasa anasaidiwaje kuondoa taarifa zake kama anadhani zimetumika vibaya?
   
 6. NGOGO CHINAVACH

  NGOGO CHINAVACH Verified User

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 797
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 60
  nadhani zoom ni waelewa sana wasiliana nao kwa hapa www.zoomtanzania.com/contactus
   
 7. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Unamuita mwenzako dada mweeh!!
   
 8. ankol

  ankol JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 1,185
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  Inahuzunisha sana, Juzi kati nimefungua mail yangu nikakuta naitwa kwenye intavyuu na kampuni ambayo kila nikivuta kumbukumbu sio tu kua siijui bali sijawahi tuma aplikesheni yangu. Nikaigugo hakuna kitu. Sasa nikajiuliza imekuaje. Yote hii ni outcome ya cv zetu kuwa exposed.
   
 9. ALU-MASOLI

  ALU-MASOLI Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Before doing anything or taking any legal or other measure kasome kwanza terms and conditions za kutumia link ya zoom halafu unaweza ukaongea nao kuhusu privacy ya CV zetu coz unaweza kuchukua hatua kumbe kila kitu kiko open kwenye terms and conditions.
  So better do that and see to them first.
  Give us the feedback also cos we are also users of zoom
   
Loading...