Recent content by Alper

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nimeathirika kisaikojia nimefikisha miaka 42 sasa bado nashindwa kuoa. Kila napowaza naghairi

    Eeeh,ulikuna wa wezio nawe watakukunia tu.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kuombewa na mtumishi wa Mungu GeorDavie ni laki moja kwa kila mtu

    UNADHANI KILA MTUMISHI KAAGIZWA NA MUNGU?.....Tafakari Why alisema AGALIE WENGI WATAKUJA KWA JINA LANGU.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kuombewa na mtumishi wa Mungu GeorDavie ni laki moja kwa kila mtu

    UNADHANI KILA MTUMISHI KAAGIZWA NA MUNGU ETI?.Sahau....
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Anthony Lusokelo apinga ndoa za mke mmoja

    Mjadala huu Umeletwa Kipagani au Kikafiri dhahiri
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nmenusurika kupigwa na Steven Wassira, ngumi ya kwanza nliikwepa

    Hatari sana,Watu waambiwao ukweli mara zote hugadhabika sana.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

    Hamorapa Anatisha sana Mmeona Mbio Zake Baada ya Mweshimiwa Nape kutolewa Bastora Alovyo kimbia mbio. Hahaha Pole sana Hamorapa Punguza misele.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Dr Jakaya Kikwete kaa kimya baba, Ukisema sema neno moja tu kuwa umewasamehe

    NAULIZA JE RAISI GANI WA KUKUMBUKWA HAPA TZ TOFAUTI NA MWALIMU!?.Yupi mweredi zaidi.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Dr Jakaya Kikwete kaa kimya baba, Ukisema sema neno moja tu kuwa umewasamehe

    Twendeni SALAMA tuone hadi Mwisho
  9. A

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma leo Januari 31 2017, Kilango, Bulembo, Palamagamba waapa

    TUNAJIENDEA TU SAIZI....
  10. A

    JamiiForums Tanzania Dr Jakaya Kikwete kaa kimya baba, Ukisema sema neno moja tu kuwa umewasamehe

    Nilazima sasa Watanzania yatupasa kujenga staha ya maneno yanayo toka midomoni mwetu maana gharama yake ni kubwa sana. Tulisema mengi sana pasipo kujali kwamba maneno hayo yanatengeneza taswira gani ya hapo baadaye. Asante JK Busara zako na hakika Mungu ni lazima atakulipia kwa zawadi ya kipekee.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Uvamizi Clouds Media Group: Kamishna Sirro awataka wahusika wakaripoti polisi haraka

    Nashukuru sana Watanzania kwa kumsoma mapema
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais unatuacha wananchi njiapanda na maswali mengi!

    Kauli hizo WATZ NI nzuri sana katika kutuhamasisha mwaka 2020 kufanya yetu ya kweli
  13. A

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wahariri wampiga BAN Mkuu wa Mkoa wa Dar kwenye Media zote nchini

    Hahahahaha haya bhana inatisha,Tena ikiwezekana Serikali Nzima na Wabaki Na YBC YAO AMABAYO HAINAGA HATA WATIZAMAJI.
Back
Top Bottom