Dr Jakaya Kikwete kaa kimya baba, Ukisema sema neno moja tu kuwa umewasamehe

Alper

Member
Mar 20, 2017
18
4
Nilazima sasa Watanzania yatupasa kujenga staha ya maneno yanayo toka midomoni mwetu maana gharama yake ni kubwa sana.

Tulisema mengi sana pasipo kujali kwamba maneno hayo yanatengeneza taswira gani ya hapo baadaye.

Asante JK
Busara zako na hakika Mungu ni lazima atakulipia kwa zawadi ya kipekee.
 
JK ndio chanzo ya haya matatizo yote.. Vita yake na Lowasa Vs Membe matokeo yake ndo haya. Sisi ndo tumsamehe yeye.
 
JK kaungame muombe mungu msukuma augulie ikulu iwe kama Zambia na malawi watu wapumue hakuna uhuru watu wanabambikiwa kesi na Daud ukihoji unatumbuliwa hakuna kitu kama hiki Duniani kokote.
 
Nilazima sasa Watanzania yatupasa kujenga staha ya maneno yanayo toka midomoni mwetu maana gharama yake ni kubwa sana.

Tulisema mengi sana pasipo kujali kwamba maneno hayo yanatengeneza taswira gani ya hapo baadaye.

Asante JK
Busara zako na hakika Mungu ni lazima atakulipia kwa zawadi ya kipekee.

Kama tukiunganisha uzembe na mapungufu na uozo. huyu wa sasa anaweza akamzidi sana yule aliyepita. Kwa maana yule aliyepita Uchumi ulikuwa stable na Amani ilikuwepo kwa watanzania. huyu wa sasa watanzania hawana amani na uchumi unayumba ni kama gari bovu linaendeshwa na mlevi.
 
  • Thanks
Reactions: OTG
JK mdebwedo sana, ataongea sasa....amewapa kazi nzito waliomfuata hadi inaanza kuonekana aliyepo ni mbaya....atulie kimya huko aliko, huyu wa sasa alionekana alipokuwa waziri...matendo yake yalikuwa wazi....acha aendelee maana amekuwa Rais yaani yeye ndio boss..weeeeeeeeeeh!. Tulia kama maji mtungini, JK aliharibu sana nchi
 
ili video ya cctv isambazwe kwa watanzania wote na bongo movie mtengeneze movie ya matendo ya yote ya Daud bashite ikibidi balozi zote na kule UN mpaka Hollywood wapate copy Dunia nzima wajue kuwa Tanzania kuna idd Amini mpya kazaliwa na Makonda kwa sasa ni Nambatiza kwa jina la Mali ya Mungu yule muuaji maarufu hapa Uganda
 
Hiyo movie watainunua wenyewe..Nchi haitaki upuuzi
 
JK mdebwedo sana, ataongea sasa....amewapa kazi nzito waliomfuata hadi inaanza kuonekana aliyepo ni mbaya....atulie kimya huko aliko, huyu wa sasa alionekana alipokuwa waziri...matendo yake yalikuwa wazi....acha aendelee maana amekuwa Rais yaani yeye ndio boss..weeeeeeeeeeh!. Tulia kama maji mtungini, JK aliharibu sana nchi
kila mtu huwa na mapungufu yake lakini jk miaka Yake mitano ya kwanza hakuharibu kitu ingawa mwishoni kidogo ndipo alibugi, huyu Msukuma mwaka wa kwanza tu Uchumi upo hovyo hovyo hakuna meli bandarini shilingi inazidi kushuka Thamani, pesa nyingi zinatumika kwenda kukandamiza wapinzani na kuonea watu, Utumbuaji wa kijinga jinga umeshika kasi anamkumbatia msukuma asiye na vyeti kisa na yy PhD yake ni ya kuunga unga yaa wasukuma wawili vihiyo ndiyo wanaipeleka Nchi shimoni.
 
Daud bashite a.k.a mali ya mungu kwa sasa yupo busy kushauriana na Serikali ya china wawasaidie pesa za kuwapa wabunge wapitishe sheria ya kunyonga watu hata ukitajwa kwenye list ya blackmail ukagoma kutoa gari utanyongwa na mkuu wa kitengo cha kunyonga atakuwa ni Mali ya mungu mwenyewe.
 
Nilazima sasa Watanzania yatupasa kujenga staha ya maneno yanayo toka midomoni mwetu maana gharama yake ni kubwa sana.

Tulisema mengi sana pasipo kujali kwamba maneno hayo yanatengeneza taswira gani ya hapo baadaye.

Asante JK
Busara zako na hakika Mungu ni lazima atakulipia kwa zawadi ya kipekee.

Kikwete ndiye chanzo na sababu ya uharibifu huu wote unaoonekana. Mabavu aliyaasisi yeye na yanayotokea hapa ni mirathi kutoka kwake. Amsamehe nani badala ya kuomba msamaha Watanzania?

Ninaomba sana mjifunze kuelewa mizizi ya matatizo yenu badala ya kufukazana na matunda.
 
Kama tukiunganisha uzembe na mapungufu na uozo. huyu wa sasa anaweza akamzidi sana yule aliyepita. Kwa maana yule aliyepita Uchumi ulikuwa stable na Amani ilikuwepo kwa watanzania. huyu wa sasa watanzania hawana amani na uchumi unayumba ni kama gari bovu linaendeshwa na mlevi.
Kwa mda mfupi aliokaa ameharibu kila kitu akikaa mpaka 2020 hali italuwa mbaya zaidi
 
kila mtu huwa na mapungufu yake lakini jk miaka Yake mitano ya kwanza hakuharibu kitu ingawa mwishoni kidogo ndipo alibugi, huyu Msukuma mwaka wa kwanza tu Uchumi upo hovyo hovyo hakuna meli bandarini shilingi inazidi kushuka Thamani, pesa nyingi zinatumika kwenda kukandamiza wapinzani na kuonea watu, Utumbuaji wa kijinga jinga umeshika kasi anamkumbatia msukuma asiye na vyeti kisa na yy PhD yake ni ya kuunga unga yaa wasukuma wawili vihiyo ndiyo wanaipeleka Nchi shimoni.

Kikwet hakuw a raisi mzuri hata kidogo sema alikuwa mnafiki. Huyu wa sasa ni mropokaji. Mabavu haya, dharau, ubabe nk. ni rangi ya jkwet na ndiye aliyrithisha haya yote tangia uchaguzi.
Huwezi kutenganish ajkwet na mateso ya WAtanzania. Lawana zote zitaflow kueleka kwake na familia yake.
 
Kikwete ni zaifu mpole

Huyu ngosha ni zaifu wa kupaniki na kujistukia

Wote wale wale, ccm ondoken nchi imewashinda
 
Kikwet hakuw a raisi mzuri hata kidogo sema alikuwa mnafiki. Huyu wa sasa ni mropokaji. Mabavu haya, dharau, ubabe nk. ni rangi ya jkwet na ndiye aliyrithisha haya yote tangia uchaguzi.
Huwezi kutenganish ajkwet na mateso ya WAtanzania. Lawana zote zitaflow kueleka kwake na familia yake.
NAULIZA JE RAISI GANI WA KUKUMBUKWA HAPA TZ TOFAUTI NA MWALIMU!?.Yupi mweredi zaidi.
 
Back
Top Bottom