Tundu Lissu: Nmenusurika kupigwa na Steven Wassira, ngumi ya kwanza nliikwepa

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu alinusurika kushambuliwa na aliyekuwa Mbunge wa Bunda, Steven Wassira katika moja ya vikao vya Bunge Mjini Dodoma.

Lissu aliyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na gazeti la Mwananchi kuhusu maisha yake binafsi na mambo mbalimbali ambayo amewahi kukutana nayo, ambapo alielezea pia kesi ambazo zinamkabili, maisha ya mahabusu, familia yake, burudani anazopenda pamoja na uhusiano wake na watu mbalimbali.

Mbunge huyo alisema Wassira alitaka kumpiga baada ya maneno makali aliyomtolea bungeni wakati akichangia hoja. Miongoni mwa maneno yaliyomkwaza Wassira ni baada ya Lissu kumwambia kuwa alijiunga upinzani akidhani kuna fedha na alipogundua hakuna ndipo akakimbia kurudi CCM.

“Alichukia sana. Sasa nimetoka pale naenda chooni, nikamkuta akiwa na wabunge wengine wa CCM. Aliponiona akaanza kunifuata akiniambia kuwa atanipiga,“ alisema Lissu

Lissu alisema kuwa alimuona Wassira akizidi kumkaribia ambapo alikuwa akielekea kwenye kona ili ampate vizuri. “Na akikasirika anakuwa mkubwa kweli, alafu mimi mdogo. Nikawa nawaangalia wale wabunge wengine wa CCM kama wataingilia kuamua, naona hakuna anayetaka kumzuia.”

Akisimulia tukio hilo Lissu alisema, Wassira alirusha ngumi ya kwanza akaikwepa, aliporusha ya pili ikamkosa huku Wassira anazidi kusogelea, akawaza kuwa akipiga hatua nyingine moja atampiga teke, wakati anaugulia maumivu yeye atakimbia. Lakini Wassira aligeuka na kuondoka zake.

Chanzo: Mtandaoni
Hatari sana,Watu waambiwao ukweli mara zote hugadhabika sana.
 
Ikiwa mnaemuhita wakili msomi anaongea pumba kama hizo itakuwaje kwa nyumba asiejua haki zake?
Kwanini asisubili apigwe ngumi ili ampeleke mahakamani?
Kuna kitu lisu hakukieleza vizuri. Nilipata ukweli wa sakata hili toka kwa aliyekuwa mbunge wa Musoma mjini Vincent Nyerere.
 
Njaa haina baunsa , sasa hivi Wasirra amefufua shamba lake la matembele kipunguni.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Sijui kama mlishaga stuka kua Lisu ni mpenda sifa hapa nchini...watu wengi hawajawahi kumgundua.kujifanya kujua kwingi ni njia anayoitumia kutaka sifa.sisi tunajua kuna wanasheria wazuli kuliko hata yeye na hua wapo kimya tu.
Aya tuma salam kwa watu..
 
Sijui kama mlishaga stuka kua Lisu ni mpenda sifa hapa nchini...watu wengi hawajawahi kumgundua.kujifanya kujua kwingi ni njia anayoitumia kutaka sifa.sisi tunajua kuna wanasheria wazuli kuliko hata yeye na hua wapo kimya tu.
Mmoja wapo ni Fredrick Kihwelo. Huyu Wakili Msomi yuko vizuri sana.
 
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu alinusurika kushambuliwa na aliyekuwa Mbunge wa Bunda, Steven Wassira katika moja ya vikao vya Bunge Mjini Dodoma.
View attachment 490430
Lissu aliyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na gazeti la Mwananchi kuhusu maisha yake binafsi na mambo mbalimbali ambayo amewahi kukutana nayo, ambapo alielezea pia kesi ambazo zinamkabili, maisha ya mahabusu, familia yake, burudani anazopenda pamoja na uhusiano wake na watu mbalimbali.

Mbunge huyo alisema Wassira alitaka kumpiga baada ya maneno makali aliyomtolea bungeni wakati akichangia hoja. Miongoni mwa maneno yaliyomkwaza Wassira ni baada ya Lissu kumwambia kuwa alijiunga upinzani akidhani kuna fedha na alipogundua hakuna ndipo akakimbia kurudi CCM.

“Alichukia sana. Sasa nimetoka pale naenda chooni, nikamkuta akiwa na wabunge wengine wa CCM. Aliponiona akaanza kunifuata akiniambia kuwa atanipiga,“ alisema Lissu

Lissu alisema kuwa alimuona Wassira akizidi kumkaribia ambapo alikuwa akielekea kwenye kona ili ampate vizuri. “Na akikasirika anakuwa mkubwa kweli, alafu mimi mdogo. Nikawa nawaangalia wale wabunge wengine wa CCM kama wataingilia kuamua, naona hakuna anayetaka kumzuia.”

Akisimulia tukio hilo Lissu alisema, Wassira alirusha ngumi ya kwanza akaikwepa, aliporusha ya pili ikamkosa huku Wassira anazidi kusogelea, akawaza kuwa akipiga hatua nyingine moja atampiga teke, wakati anaugulia maumivu yeye atakimbia. Lakini Wassira aligeuka na kuondoka zake.

Chanzo: Mtandaoni
Haitusaidii aende jimboni kwake akawasaidie wanajimbo wake badala ya kutwa kushinda kwenye corridor za Kisutu kwa kutafuta kiki
 
Yule si ni Tyson?
 
Sijui kama mlishaga stuka kua Lisu ni mpenda sifa hapa nchini...watu wengi hawajawahi kumgundua.kujifanya kujua kwingi ni njia anayoitumia kutaka sifa.sisi tunajua kuna wanasheria wazuli kuliko hata yeye na hua wapo kimya tu.
Lissu anaijua sheria,navanaitendea haki profession yake kwakupewa kesi mbalimbali nakuzimudu hadi kuzishinda,hao wanasheria wengine wazuri ambao wamekaa kimya,wakae kimya tu kama tasnia ya sheria inaenda kwakukaa kimya.
 
Sijui kama mlishaga stuka kua Lisu ni mpenda sifa hapa nchini...watu wengi hawajawahi kumgundua.kujifanya kujua kwingi ni njia anayoitumia kutaka sifa.sisi tunajua kuna wanasheria wazuli kuliko hata yeye na hua wapo kimya tu.
Uko sawa kweli? Mwanasheria mzuri alafu unakaa kimya hutaki kujulikana wala hutaki sifa?
 
Haitusaidii aende jimboni kwake akawasaidie wanajimbo wake badala ya kutwa kushinda kwenye corridor za Kisutu kwa kutafuta kiki
Umesikia wananchi wake wakilalamika?au wewe ndio msemaji wako,lazima umeshikwa pabaya wewe
 
Back
Top Bottom