You commented just because you have an electronic device, not because you have knowledge on football.
How do you consider a club as big in football?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Mou sijui anamkazania nini Felaini, Angemuacha tu asepe maana hadi zile tetesi za kuondoka naona zimezima kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Waafrika bana [emoji16][emoji16][emoji16] yani issue ndogo imekuwa mjadala. Kwanini utokwe povu ilhali ukitembea bellow 80Km/hr hauna shida.
Ajali zikiwa nyingi lawama, ikiwekwa njia ya kuzuia lawama.
Sisi wenye haraka tupande ndege, na kama tunakoenda hakuna routes za ndege tukodi
Sent using...
Ikiwa wewe ambaye hata jiografia ya nchi yako huijui unasemaje mbunge hamuelewi. Yani ukisikia Nkasi unadhani Mbunge ni Ally Kessy pekee, kumbe Nkasi ni wilaya na ina majimbo Mawili, Nkasi Kusini (huko mleta uzi anakozungumzia) na Nkasi Kaskazini kwa Ally Kesy huyo unayemaanisha wewe...
Mbunge wa Nkasi ipi? Kumbuka kuna Nkasi Kaskazini ambako Mbunge ni Ally Kessy (nahisi unamaanisha huyu sababu ndio maarufu sana) pia kuna Nkasi Kusini ambako kuna mbunge mwingine na Kijiji cha Ntuchi (kilichotajwa) kinapatikana huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia hizi critics anazosukumiwa Pogba zinamfanya muda mwingine kutokuwa free kiakili uwanjani. Tumtie moyo bado ni mchezaji mzuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.