Jiangalie wewe.. Ya nini kusema dini za watu?? Unawajua magaidi ww? Ushawahi kukitana nao?? Unawajua waislamu wewe?? Unaujua uislamu wewe?? Fikiria kabla hujafungua domo lako
Kulingana na historia ya mechi ya chelsea na barcelona inakua ngumu kutabiri moja kwa moja nani anapita kati ya hizo timu mbili...
Barcelona amekua na msimu mzuri sana na hii inatokana na Magician Messi kutakata katika mechi nyingi huku chelsea wakionekana kusuasua chini ya Antonio conte...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.