Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Quran al Kareem
Darasa muhimu kwa umma
Mikono itendayo maajabu
vitabu vya shigongo vya ujasiriamali
Hacking e books
Vocational skills hivyo ndio vimesaidia kuchange life style yangu
 
Napenda vitabu vya kijasusijasusi ila vimeniharibu, nimegeuka mpelelezi mpaka ktk familia yangu, nikikata kona mbili tatu mtaa mtu au gari ikaelekea ninakokwenda naanza mashaka, kwa ufupi vimenijengea mashaka japo najifunza kila nisomapo.
Mkuu ntajie hata viwili tu vya kijasus utakua umensaidia sana
 
Back
Top Bottom