Kosi la kutajika la tajiri mkubwa bwenyeye Sir Jim wanashuka leo
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁
My prediction
Manchester united 3 Vs Ipswich town 1
Watapigwa sana wale
Pigaaaa
Uaaaaaa
Chinjaaaa
fyekaaaa
malizaaaa
Wakubwa I'm back again🙏
Ni wale wale vijana barobaro wa tajiri Sir Jim wanashuka leo
Manchester united inacheza leo na dunia nzima inq furaha 😁😁😁
My prediction
Hull City 1 VS Manchester united 3
Tutachapa
Uaaaaa
Malizaaaa
Chinjaaaa
Mamaeeee
Sasa kama prince unafanyiwa hivi wengine sio ndio tunaweza kupigwa na vibao kabisa.
Labda awakujua mkuu wewe ni nani sidhani kama heshima yako wanaweza kuivunjq kirahisi hivyo hata kama mambo ya nchi ayaeleweki.
Kama ni ivyo kwenye awamu hii ya uyu mama watafunga vijana nchi nzima maana vijana wanao toa comment za kutukana serikali ni zaidi ya million.
Sijui kama kuna jela ya kufunga watu wote hao.
Wanawake ni waongo kikawaida hawapendi wanaume weusi ila wanaogopa kuwa na wanaume weupe kwa sababu ya kuzidiwa mvuto.
Kikawaida wanawake wakiongea kitu ili upate maana geuza kinyume chake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.