Sahihi. Kwa sababu naamini unazungumzia watumishi wa kikristo, nadhani inabidi liangaliwe kwa upana wake. Mtumishi kwanza amjue Yesu na kumwamini. Hayo mengine yooote yanajirekebisha. Kwa sababu Yesu akishaingia ndani yake anamfanya kiumbe kipya, basi anakua na upendo, heshima, utii, na...