Mtambue mtumishi wa Mungu wa kweli

Mtambue mtumishi wa Mungu wa kweli

Nlkuwa na rafiki angu alkuwa haamini kabisa tulibishana sana kuhusu habari za imani tukapotezana like a year nlporud nkamkuta kaokoka basi ninaamini wakati wa Mungu ni wakati sahihi,ukifika utamwamini tu muulize Sauli
Hilo halithibitishi Mungu yupo.

Kuna watu hawaamini dunia ni duara. Wanaamini dunia ni bapa kama meza.

Hilo halithibitishi kwamba dunia ni bapa.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Unachokitafuta sikielewi; imani yangu ni kwamba Mungu yupo, nami ni mtumishi wake ndiyo maana natumia mda huu kukujuza wewe na wengine ili msijesema hatukujua.
Sawa mkuu
 
Huyu Kiranga ninachomshangaa, kutaka watu waamini kile anachoamini yeye. Wakati anachoamini yeye ikiwa hakuna anekipinga, ila tumfumilie tu hawa wapo tu hatuwezi kuwaepuka, kuna siku kuna mtu aliweka mada juu ya kujisafisha kinyesi, kwa maji au karatasi wapo walisema wao wakimaliza haja ni kuvaa tu kazi imeisha, na wakitoka kungonoka wanavaa tu, hawaogi au kunawa, hivyo usishangae harufu za kutapisha, tunazokutana nazo ndani ya Daladala.
Wapi nimetaka muamini ninachoamini mimi?
 
Kujua na kuamini kwa mujibu wa kamusi sanifu... Naomba unijibu.
Sina kamusi hapa.

Sijadiliani na kamusi. Najadiliana na wewe.

Unaweza kunieleza unaelewa nini unapoona hayo maneno kujua na kuamini? Kwa mujibu wako kujua ni nini? Kuamini ni nini?
 
Wewe Kiranga unataka upate uthibitisho wa namna gani kwamba Mungu yupo? Ni uthibitisho wa picha au wa matendo yake? Kwa mfano wewe utataka uthibitisho gani kwamba hewa ipo? Kwani unaona hewa?
 
Sahihi. Kwa sababu naamini unazungumzia watumishi wa kikristo, nadhani inabidi liangaliwe kwa upana wake. Mtumishi kwanza amjue Yesu na kumwamini. Hayo mengine yooote yanajirekebisha. Kwa sababu Yesu akishaingia ndani yake anamfanya kiumbe kipya, basi anakua na upendo, heshima, utii, na matendo yake yote kwa ujumla yanabadilika.

Kwa ambaye hamwamini Mungu, mara nyingi sio vizuri kudebate. Kwa sababu Roho huwapa ufahamu wa uwepo wa Mungu watu wote hapa duniani. Kwahiyo hata kama anapinga, ila ndani yake, nafsini mwake anakua hana uhakika. Ndio maana wengi wanakua wanapenda sana kudebate au kuargue na kudefend points zao.

Ila wewe kama mkristo kwa sababu una uhakika na Mungu wako, relax. Kama umemwambia mtu habari njema, umempa resources zote za kutambua uwepo wa Mungu, na bado anakataa. Unamwacha.
Hata mtume Paulo alisema hivyo.

Cha msingi usiache kuongea kuhusu Mungu, lakini usifikie hatua ya kubishana, inakua kama kupoteza wakati, while kuna wengine wengi wapo tayari kuskiliza.

Hii ndio hua inasababisha hata watumishi wengine kuhukumu watu, kusengenya, kwa sababu tu wamehubiri kuhusu Mungu watu wakampinga. Hapo wanafika mbali.

Pia unajua hapa duniani kuna choice nyingi sana. Ndio maana hata wanaopinga uwepo wa Mungu wanaishi na wanafanikiwa pengine kuliko wakristo. Hiyo ni neema ya Mungu. Lakini wote tunajua kua njia bora kabisa ni kumwamini na kumfuata yeye. Kama wanajua wanavyokosa, wanatakiwa wakubali wenyewe kumfuata Yesu na kuamini. Kuna tofauti kubwa sana. Kwanini unaamini anazungumzia watumishi wa kikristo na si wa dini nyingine?
Kwasababu naamini unazungumzia watumishi wa kikristo [\COLOR]
 
Kwa kweli sina uhakika sana na dini nyingine. Ndio maana nikatoa good guess ili niweze kuendelea kuongelea mada yake, kwa sababu nimeshuhudia zaidi watumishi waongo kwenye dini ya kikristo
 
Kwa kweli sina uhakika sana na dini nyingine. Ndio maana nikatoa good guess ili niweze kuendelea kuongelea mada yake, kwa sababu nimeshuhudia zaidi watumishi waongo kwenye dini ya kikristo
Sawa, hata kwa waislam wapo masheikh wanafiki na matapeli pia.
 
Sina kamusi hapa.

Sijadiliani na kamusi. Najadiliana na wewe.

Unaweza kunieleza unaelewa nini unapoona hayo maneno kujua na kuamini? Kwa mujibu wako kujua ni nini? Kuamini ni nini?
Kamusi ni authority.... Let us quote authority.. Kama Umeweza ku install jamii forum App.. Install kamusi tuendelee na mjadala..
 
1477776683249.jpg
 
Nlkuwa na rafiki angu alkuwa haamini kabisa tulibishana sana kuhusu habari za imani tukapotezana like a year nlporud nkamkuta kaokoka basi ninaamini wakati wa Mungu ni wakati sahihi,ukifika utamwamini tu muulize Sauli
Hivi kuokoka na ulokole ndo upuuzi gani?? Mm nimesoma injili kwa kutumia akili nimeona tofauti kuwa mlokole ni kuwa msukule furani hivi unaotumika na wajanja makanisani
 
Kamusi ni authority.... Let us quote authority.. Kama Umeweza ku install jamii forum App.. Install kamusi tuendelee na mjadala..
Unajuaje kwamba nime install Jamiiforum app?

Unajua kwamba tunaweza kusoma kitu kimoja katika kamusi na wote wawili tukawa na tafsiri tofauti?
 
Back
Top Bottom