Haya pingeni tena na huyu kuwa siyo MZURI!!

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,642
18,643
14711155_708412205989136_318994727572993126_o.jpg
 
Wakawaida Sana. Ukipata Picha amesimama na amevaa vazi lisilo mbana ndio utapata jibu
 
Kama wazuri mbona hawaolewi?
Mnashindwa kuwapeleka kwenu kazi kuwatumia na kuwapiga picha za uchi tu.

Wazuri huku kwetu wameolewa wote tena wazuri akili sio wazuri miguu huku kichwani kuna upungufu wa ubongo.

Mwanamke mzuri huwa haaniki hivyo maungo yake"hayo maungo ayaone mmewe sio jamii yote"
 
Back
Top Bottom