Recent content by Allen95

  1. Allen95

    ATCL kupeleka ndege Afrika Kusini pamoja na Airhostess walikuwa sahihi, tusichukulie kila jambo ni "ufisadi"

    Bandiko limekaa vyema Sana isipokua Kwa wale wenye jicho la kibeberu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Allen95

    Part 2: Ujasusi ndani ya Boeing

    Makala tulivu kabisa nakusubiri part 3 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Allen95

    Hajui kwanini nilimuacha...

    Hamna mwanamke apo mkuu we songa mbele pengine alie sahihi kwako yupo karibu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Allen95

    Makocha wa kutoka nje wameisaidia timu ya England

    Mkuu umefanya km mm nshaona kuna matango Pori humo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Allen95

    Kwanini wanaume wa kichaga hawajui kuandika sms?

    Mbona mtani una hoja dhaifu itakua ulidate na mchaga mwenye asili yakiskuma Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Allen95

    Adsence Account

    Una account ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Allen95

    Adsence Account

    Wakuu nahitaji account ya AdSense Kwa anaeuza No: 0653475488 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Allen95

    Serikali yasimamisha leseni ya uchapishaji na usambazaji ya gazeti la 'The Citizen' kwa siku 7

    Mbona ni experts ndo wamesema! Au gazeti wamezingua kuwasilisha maoni ya hao experts Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Allen95

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Na hofu Sana na jinsi Ruge alivyoondoka bado naiwazia tasnia ya burudan hasa wasanii, clouds yenyewe sjui ngoja tuone Mungu atamuinua nan mwingine mwenye nguvu ya maono km Ruge Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Allen95

    Tundu Lissu: Tusipoyasema haya juu ya kifo cha Ruge Mutahaba, mawe yatasema

    "Dead people tell no tales" pumzka Kwa aman Ruge Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Allen95

    Shilingi kushuka thamani na hali mbaya ya uchumi wetu: Sababu ni nini na nini kifanyike?

    Akili ndogo ikijaribu kuichalenji akili kubwa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Allen95

    Barua ya wazi kwa Askofu Fred Shoo

    Kuna haja yakuondoa uvivu wa kusoma kabla hujakurupuka na kuandika Uzi...nenda kapitie waraka uje uelezee apa ubaya wake
  13. Allen95

    Maaskofu watatu KKKT(Malasusa, Mbedule na Massangwa) watengwa

    Tutolee mawazo yako mgando kwanza huenda we sio mlutheri tuachie wenye dhehebu letu kilichomkuta ndo kilichompasa
  14. Allen95

    Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Nidhamu ya uoga itatuangamiza watz tuweke kando uoga hili n taifa letu sote. #miminitaandamana
Back
Top Bottom