Recent content by Clan2626

  1. Clan2626

    JamiiForums Tanzania Hatutaki maridhiano yoyote na huu utawala batili tarehe 09 tunatoka

    Now I understand .
  2. Clan2626

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kimpira , Son anastahili kuwekwa hapo Kwa mane kama vigezo ni effort. Nashangaa imekuaje pale, na Ronaldo anafanya nini humo?
  3. Clan2626

    JamiiForums Tanzania Msala ambao siwezi usahau kamwe

    Stori nzuri Sana kaka, ila nauliza miaka ya 2020+ then ukakaa miaka 15 mbele , je wewe ni time traveler?
  4. Clan2626

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Mbowe kustaafu 2023 ni mdogo sana kwa sababu anahitajika sana kwenye Maridhiano

    Wanachama wa chama kipya na viongozi wao ni Hawa Hawa wa kutoka CCM na CHADEMA? Kama jibu ni ndio basi CCM na CHADEMA bado wapo Sana. Endelea kutamani iwe hivyo ila haitatokea . Lengo la katiba mpya wenye nchi wamejifunza jinsi matumizi mabaya ya madaraka Kwa ngazi ya juu yanavyoathiri nchi, na...
  5. Clan2626

    JamiiForums Tanzania Wasanii wakiniona wanataka kukimbia

    Umehama sabasaba?
  6. Clan2626

    JamiiForums Tanzania Akaunti ya Benki ya mtu aliyefariki

    Ni gazeti la uhuru au lolote la serikali?
  7. Clan2626

    JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Me herufi A 1/5 Ke herufi S 13/5
  8. Clan2626

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahisi mdogo wetu wa kike kaongopa kuwa yupo field ila nahisi huenda kafungiwa na Mwanaume huko mkoani

    Ndio, wanafunzi wapo field Kondoa Nina mdogo wangu yupo field na Jana tu nilikuwa nao.
  9. Clan2626

    JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Hahahahahah kumbe Sasa hapo nimeelewa , Kwa hiyo bwana dimpo anammind mwenzake kumchukulia bwana hapo kati, je yule mbwatukaji wa mtoni ye hayupo kwenye kilinge Cha kina kinomanoma na dimpozi?
  10. Clan2626

    JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Kabisa sio fani yangu.
  11. Clan2626

    JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Yani hapo ndio umeniacha kabisa kwenye kinomanoma hebu weka code rahisi mwenzio umande nilipishana nao kuelewa code hadi Niwe na dictionary.
  12. Clan2626

    JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Hapo N n nani fumbua kidogo
  13. Clan2626

    JamiiForums Tanzania Mnadani, Msalato

    Upo maeneo hayo ? Tujumuike?
  14. Clan2626

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Hapo kwenye choice malizia vizuri , the other one ni nan? So born town kuna mtu anamhofia ? Kuna mtu anakula naye sahani moja ? Ni nani huyo hebu malizia hapo riwaya vizuri ni bonge la stori kudos yoga Wewe ni mwandishi mzuri.
Back
Top Bottom