Recent content by Allan8

  1. Allan8

    JamiiForums Tanzania Lini Tanzania itaanza kutumia hii teknolojia ya kuzuia ajali?

    Labda niseme kitu omba mungu ajali isitokee maana hata pangewekwa magodoro ajali ni ajali tuu. We hao wasikudanganye mbona akina paul walker walikufa kwenye ajali pia
  2. Allan8

    JamiiForums Tanzania Miaka 3 ya kifo cha Magufuli: Haya ndiyo mabaya yake katika utawala wake

    Hapana nchi yenye uhuru wa vyombo vya habari duniani
  3. Allan8

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mziki wa jana klopp kawakomoa wapinzani si saizi yao kabisa
  4. Allan8

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kwa huu moto guadiola kipara kinatoka jasho
  5. Allan8

    JamiiForums Tanzania Ulifanyaje kipindi huna hela, yaani maisha yamekupiga total knock out?

    Joanah mbupu umetolea wapi?
  6. Allan8

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kwa uloxhoandika kuhisu mo salah inaonesha kuukosea mpira adabu watu kama mo salah nawakumbuka ni wawili au watatu. Alikuwepo ruud van neestelroy Philipe inzaghi Javier hernandez Na sasa tunamshuhudia salah Hawa ni binadam waliokuwa wanajua njia za mpira kupita so usiseme salah anachojua ni...
  7. Allan8

    JamiiForums Tanzania Natafuta bunduki ya kulindia shamba

    Tafuta mbwa badala ya bunduki utanishukuru
  8. Allan8

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli hizi dawa kurefusha uume zipo?

    Ogopa biashara yoyote isiyokuwa na ofisi husika lakini kwenye matangazo wanakuambia mikoani 'TUNATUMA'
  9. Allan8

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    03:06
  10. Allan8

    JamiiForums Tanzania Nguvu na maajabu ya uchawi

    Kwa nin wachawi wanashindwa kuingia bank na kujichukulia pesa?
  11. Allan8

    JamiiForums Tanzania Hoja zipi zinakufanya kuchagua au kutochagua CCM, pia ni hoja ipi inakufanya uone kuwa upinzani ni mbadala wa CCM?

    Niliwahi kusoma sehemu kuhusu siasa ya vyama vingi TANZANIA. Kuwa nchini watu hawakukubali mfumo wa vyama vingi. Inasemekana wananchi wa kipindi hicho wqlipiga kura kupinga mfumo wa vyama vingi lakini baadae walishauriwa wacha viwepo lakini viwe kama vipo tuu nyuma ya pazia kusudi tusije...
  12. Allan8

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

    C:imali wasu mubhwire bhukweli asige kuyeka bhumumu bhwae ku mutwe Sent from my SM-G570M using JamiiForums mobile app
  13. Allan8

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    O2:05 Sent from my SM-G570M using JamiiForums mobile app
  14. Allan8

    JamiiForums Tanzania Hivi Idd Amini alikuwa mbaya kiasi hicho Nyerere alivyotuaminisha?

    Nia tunayo, Sababu tunayo, Na uwezo tunao. Ni lazima nduli apigwe. Hakutumwa ayakanyage. Kasome historia vizuri ikesha urudi hapa Sent from my SM-G570M using JamiiForums mobile app
  15. Allan8

    JamiiForums Tanzania Unaambiwa Klabu ambazo ni kubwa na bingwa tena katika Ligi zinafuatiliwa zaidi Duniani

    Eti Manchester city ni kubwakwa arsenal
Back
Top Bottom