Hivi Idd Amini alikuwa mbaya kiasi hicho Nyerere alivyotuaminisha?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Ukiachana na issue ya kuchukua mkoa wa Kagera tuliambiwa idd amini alikua mbaya kupita maelezo

Nimefuatilia hotuba za Amini sana wiki nimeanza kunote vitu vingi sana

Nahisi tumedanganywa sana au Nyerere alitupanga sana kuhusu Amini

Mbona kama amini alikua ndo kiongozi bora kabisa wa Uganda wakati ule?

Mbona kama inaonekana Tz ilitumika kumtoa amini kwa msaada wa mabeberu? Maana amini alionekana kama tishio la maslahi ya madola ya kibeberu?

Maswali ni mengi sana, jee Nyerere alikua na chuki binafsi na Amini? Mbona story nyingi zilitungwa sana kumuhusi Amini?Je ingekuwa ni sasa angeweza kutudanganya kwasababu hizi zama tv ,na mitandao ipo? Maana kipindi kile hata tv hazikuruhusiwa nchini.

Maswali ni mengi ila la muhimu ni kuwa jee Amini alikua mbaya kama tulivyoaminishwa?
 
Ukiachana na issue ya kuchukua mkoa wa Kagera tuliambiwa idd amini alikua mbaya kupita maelezo

Nimefuatilia hotuba za amini sana wiki nimeanza kunote vitu vingi sana

Nahisi tumedanganywa sana au Nyerere alitupanga sana kuhusu Amini

Mbona kama amini alikua ndo kiongozi bora kabisa wa Uganda wakati ule?

Mbona kama inaonekana Tz ilitumika kumtoa amini kwa msaada wa mabeberu?Maana amini alionekana kama tishio la maslahi ya madola ya kibeberu?

Maswali ni mengi sana, jee Nyerere alikua na chuki binafsi na Amini?Mbona story nyingi zilitungwa sana kumhisi amini?Jee ingekua ni sasa angeweza kutudanganya kwasababu hizi zama tv,na mitandao ipo? Maana kipindi kile hata tv hazikuruhusiwa nchini....

Maswali ni mengi ila la muhimu ni kuwa jee Amini alikua mbaya kama tulivyoaminishwa?
Upumbavu mtupu.

Hata kama Iddi Amini alikuwa mzuri kwa namna na watu wengine, kwetu sisi WATANZANIA alikuwa mtu mbaya kupitiliza. Alikuwa adui yetu namba moja. Kuvamilia ardhi yetu kwa nia ya kujimilikisha tena kwa kuwaua mashujaa wetu bila huruma, kiwango cha juu cha Unyama.

Nakujua sana wewe. Ni mdini, mvaa kobazi kindakindaki. Hata uzuri wa Amin unautafuta kwa sababu alikuwa Ustadhi mavi.
 
Hii ndio sababu ya Nyerere alikwenda huko hao jamaa walikasirika nae kwa kufanyiwa hivi. Wakafanya kama majeshi ya Amin yameingia kagera kumbe wao ndio waliofanya.

Waganda wenyewe wana kwambia Amin alikuwa kama Magufuli amejenga barabara na hospital mpaka leo hakuna rais aliefanya kama Amin.
 
Attachments

  • IMG_9513.jpeg
    IMG_9513.jpeg
    22.7 KB · Views: 2
Tuliaminishwa huyu Mwamba "Eti aliwaalika walemavu viwete kwenye sherehe akawapandisha kwenye tipa akaenda kuwamwaga mtoni,😁

mara ohhh alikuwa anakula nyama za watu😁

mara ohhh jamaa alimuuwa mtoto wake alietaka kumpindua madarakani,😁

Kubwa kuliko ni ile yakujipa vyeo vya kijeshi Kila mwezi mpaka akafika renk ya u Field Marshal 😁
 
Habari za Idi Amini zilianza wakati alipo mpindua rais Milton Obote ambae alikua sahibu mkuu wa Mwalimu Nyerere. Hapo ndio vita vya maneno vikaanza na baadae yakatokea mapigano ya kiasi mpakani. Amin akishutumu Tanzania inataka kuvamia Uganda kumrudisha Obote madarakani.

Rais wa Somalia wakati huo Siad Barre alijitahidi kupatanisha na kutuliza mzozo. Lakini vita vya maneno havikuisha na Amin akawa anatupiwa kila aina za shutuma kama kula watu, kuwa na friji iliojaa vichwa vya watu n.k.

Mwishowe ikatokea vita ya 1978 Amin alipo vamia. Nadhani Mw Nyerere asingeingilia mambo ya Uganda kudingekua na vita
 
We jamaa unafuatilia historia ipi?

Ok

Mwanajeshi
Hana elimu
Alikua bondia

Akaingia kwa coup

Kisha awe kiongozi bora?

Hebu lete sources, achana na hotuba. Lete source inayoonyesha alikuza uchumi na huduma za jamii na rushwa ikapungua. Na akawa haui wapinzani na waandishi na hakumtumia Issa kuendesha gereza na kuua raia bila hatia.
 
Ukiachana na issue ya kuchukua mkoa wa Kagera tuliambiwa idd amini alikua mbaya kupita maelezo

Nimefuatilia hotuba za Amini sana wiki nimeanza kunote vitu vingi sana

Nahisi tumedanganywa sana au Nyerere alitupanga sana kuhusu Amini

Mbona kama amini alikua ndo kiongozi bora kabisa wa Uganda wakati ule?

Mbona kama inaonekana Tz ilitumika kumtoa amini kwa msaada wa mabeberu?Maana amini alionekana kama tishio la maslahi ya madola ya kibeberu?

Maswali ni mengi sana, jee Nyerere alikua na chuki binafsi na Amini?Mbona story nyingi zilitungwa sana kumhisi amini?Jee ingekua ni sasa angeweza kutudanganya kwasababu hizi zama tv,na mitandao ipo? Maana kipindi kile hata tv hazikuruhusiwa nchini.

Maswali ni mengi ila la muhimu ni kuwa jee Amini alikua mbaya kama tulivyoaminishwa?

Kwa nchi za wenzetu wewe n muhainini na ulibidi unyongwe
China hili kosa linaangukia sheria ya
“Colition with foreign power”
yaan unashirikiana na nchi adui kuihujumu nchi yako!

Kwa iyo ulitaka Nyerere amsifie kwa kumega na kuua wanajeshi na raia Kagera?? Akili unazo ww?? au umekalia

Na ni wapi Nyerere alieneza Historia nzima ya Iddi amini ??

Nyerere alielezea suala la idi amin n adui inabidi apigwe!

Hamna sehemu nyerere ameandika mkitabu juu ya maisha ya Idi amini?
Hamna sehemu alipo mtungia muvi kumuelezea ubaya wake?

Ile ilikua vita kama vita nyingine hamna namna unaweza msifia adui!
Ubaya au uzuri ni kazi ya waganda kujudge siyo yetu kwetu alikua mbaya!

Plus hizo sumu unazomezeshwa si nyerere ila n dunia inayoigiza na movie na kuandika vitabu
 
Skia, propaganda kwenye vita hazikosekani. Amin deserved our fierce forcefully action, Ila hio haifichi ukweli kwamba Mwalimu was so wrong in majority of things about leading our country. Man led us here to this undeserved poverty.

mpumbavu ww!!
aliacha viwanda vingap mmeua
Aliacha lunch ngap mmefuta
Aliacha maghala mangap mmefuta
 
Ukiachana na issue ya kuchukua mkoa wa Kagera tuliambiwa idd amini alikua mbaya kupita maelezo

Nimefuatilia hotuba za Amini sana wiki nimeanza kunote vitu vingi sana

Nahisi tumedanganywa sana au Nyerere alitupanga sana kuhusu Amini

Mbona kama amini alikua ndo kiongozi bora kabisa wa Uganda wakati ule?

Mbona kama inaonekana Tz ilitumika kumtoa amini kwa msaada wa mabeberu?Maana amini alionekana kama tishio la maslahi ya madola ya kibeberu?

Maswali ni mengi sana, jee Nyerere alikua na chuki binafsi na Amini?Mbona story nyingi zilitungwa sana kumhisi amini?Jee ingekua ni sasa angeweza kutudanganya kwasababu hizi zama tv,na mitandao ipo? Maana kipindi kile hata tv hazikuruhusiwa nchini.

Maswali ni mengi ila la muhimu ni kuwa jee Amini alikua mbaya kama tulivyoaminishwa?
Amin dini yake ndio ilimponza
 
TPDF ile mission ya kumuondoa pale Uganda waliita "operation Dada Iddy" kumbe mazee ya mabaka mabaka
yapo dark sense of humor kinoma
 
Tuliaminishwa huyu Mwamba "Eti aliwaalika walemavu viwete kwenye sherehe akawapandisha kwenye tipa akaenda kuwamwaga mtoni,😁

mara ohhh alikuwa anakula nyama za watu😁

mara ohhh jamaa alimuuwa mtoto wake alietaka kumpindua madarakani,😁

Kubwa kuliko ni ile yakujipa vyeo vya kijeshi Kila mwezi mpaka akafika renk ya u Field Marshal 😁
Ukimuita Field Marshal unakuwa hujamtendea haki nasikia alikuwa

"His Excellency, President for Life, Field Marshal Al Hadji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular."
😁
 
Hakuna economist ata analyse Tz economy bila kukutana na majeraha ya Vita vya Kagera
Vita ambavyo mpaka leo hakuna sababu za wazi ukiacha usuhuba wa Nyerere na Obote hakuna sababu nyingine yoyote inaweza kuwa na mashiko
Vita vya Kagera, Sakata la Biafra na Mambo meusi ya Zanzibar bado ni ukweli mchungu unaoitafuna historia ya Tanzania, Watanzania na Nyerere
 
We jamaa unafuatilia historia ipi?

Ok

Mwanajeshi
Hana elimu
Alikua bondia

Akaingia kwa coup

Kisha awe kiongozi bora?

Hebu lete sources, achana na hotuba. Lete source inayoonyesha alikuza uchumi na huduma za jamii na rushwa ikapungua. Na akawa haui wapinzani na waandishi na hakumtumia Issa kuendesha gereza na kuua raia bila hatia.
we fara kweli uongozi ni taranta mtu anazaliwa nayo,kwa hiyo unataka uniambie ,wright brother walovumbua ndege,nikolai tesla alovumbua umeme,na james watt alovumbua ingine walikuwa na elimu gani? ukifatilia hawa jamaa walifeli au hawakukamilisha elimu za darasani au vyuo vikuu.acha fikira potofu,
 
nyerere alikuwa mzandiki ona alivyo mchafua hadi kambona,mpaka tukawa tunaimbishwa nyimbo za kumtukana mashuleni,nyerere hakuwa mtu mzuri
 
Back
Top Bottom