Recent content by Aljazera

  1. Aljazera

    JamiiForums Tanzania Pharmaceutical Technician mstaafu anahitajika

    Mbona uko mbali sana ndugu?
  2. Aljazera

    JamiiForums Tanzania Pharmaceutical Technician mstaafu anahitajika

    Nafasi ipo, je wewe ni Mstaafu? Pia unapatikana katika Wilaya ipi kati ya hizo?
  3. Aljazera

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa Madiwani wilaya Mpya Dar

    Hawa watu wanajiona wameumbwa kutawala milele. Waliligawa Jiji la Mwanza na kuunda Manispaa ya Ilemela kwa uroho wa kupata Umeya.
  4. Aljazera

    JamiiForums Tanzania Natafuta Chumba au sehemu ya kufungua Maabara Jijini Mwanza.

    Nashukuru Mkuu ila inaniwia vigumu ku edit kichwa cha thread, nimeenda kwenye sehemu ya kuedit inaniruhusu kuedit Ujumbe nilioandika. Mods naombeni msaada wenu kubadili hilo neno Maabara liwe Mgahawa.
  5. Aljazera

    JamiiForums Tanzania Natafuta Chumba au sehemu ya kufungua Maabara Jijini Mwanza.

    Wakuu, heshima kwenu. Mimi ni mjasiriamali niko Mwanza mjini, Natafuta Chumba cha kupanga Jijini Mwanza kwa ajili ya kufungua Mgahawa wa kuuza chakula. Kwa ambae anaweza kunisaidia kupata Chumba au sehemu ya kufanyia biashara hiyo au mtu yeyote mwenye sehemu ya kufanyia biashara husika...
  6. Aljazera

    JamiiForums Tanzania Stanslaus Mabula: Nyamagana msirudie kuchagua wakimbizi

    Mkuu hata hiyo Kampuni walimtapeli Mhindi wa kiwanda cha Samaki cha TFP yeye pamoja na Jack Masamaki. Kabla ya kutapeli hiyo Victoria Support alikua ni mpiga doria usiku kukagua malindo ya Knight Support.
  7. Aljazera

    JamiiForums Tanzania Ulaya, marekani waingilia kati Zanzibar

    Mnapoenda kutembeza mabakuli kwenye Nchi zao je? Hapo ndio matatizo yenu yanakua yanawahusu? Pesa zenyewe za kufanyia Uchaguzi mpaka wawasaidie halafu mnajifanya vichwa ngumu.
  8. Aljazera

    JamiiForums Tanzania Bunge laahirishwa ghafla, yadaiwa Serikali imekiuka taratibu za bunge

    Msiwe wapingaji wa hoja za msingi kwakua tu zimetolewa na wapinzani. Mbona Serikali imeiondoa hoja yake? Msiwe mtaleta ushabiki usio na maana kwa maendeleo ya Taifa letu, hii Nchi si mali ya CCM.
  9. Aljazera

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Chagonja kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Katavi

    Kivipi Mkuu?
  10. Aljazera

    JamiiForums Tanzania Kafulila azidi kulikaribia Bunge Dodoma, azidi kupeta mahakamani

    Mkuu nasikia Mabula aliambiwa aonyeshe nakala za matokeo yake akasema eti yameungua moto?
  11. Aljazera

    JamiiForums Tanzania TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    Kama issue ni watu wafanye kazi basi Vituo vyote vya TV Nchini viwe vinaanza kurusha matangazo yao jioni baada ya kazi.
  12. Aljazera

    JamiiForums Tanzania TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    StarTv walikua wanarusha kupitia Mitambo yao ila wamekata baada ya mabishano kati ya Zitto na Chenge, Zitto akitaka mjadala wa kujadili hotuba ya Rais usitishwe wajadili ni kwanini TBC ikate matangazo ya moja kwa moja. Inaonekana wameamrishwa kukata hayo matangazo.
  13. Aljazera

    JamiiForums Tanzania Mbowe Alipua Bomu la Siri ya Ushindi Wa CCM Zanzibar!. Waziri Mwinyi Alitegua!.

    Kumbe mnajua kabisa Kura za CUF zilizidi za CCM hivyo CUF walishinda Uchaguzi ila uroho wenu wa kung'ang'ania madaraka ndio unawasumbua?
  14. Aljazera

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau: Kaa mbali na wasichana walioshiriki Miss Tanzania

    Mbona mtoto wa Mtemvu alishiriki?
  15. Aljazera

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri: Namna ya kupiga plasta katika nyumba

    Ungetutajia hiyo product ya kulainisha Ukuta badala ya Gypsum Powder ungetusaidia wengi. Pia ututajie na madhara ya Gypsum Powder kwenye Ukuta,kwani ndio material inayotumiwa kwa sasa.
Back
Top Bottom