Pharmaceutical Technician mstaafu anahitajika

Aljazera

JF-Expert Member
Feb 11, 2015
637
224
Wakuu tunahitaji Mstaafu yeyote mwenye Diploma au Certificate ya Pharmacy aliesajiliwa na Baraza la Famasi na awe tayari kufanya kazi katika Wilaya zifuatazo Mkoani Mwanza.
Magu, Misungwi au Kwimba au kama wewe una sifa hizo hapo juu na uko katika sehemu tajwa ni PM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom