Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Mkuu hiyo kwa dar ilianzia tangu kwenye kuanzisha majimbo ya ziada kama kibamba na mbagala nia ya ccm ilikuwa ni kuwachanganya wapimzani na kupiga bao,sasa angalia cdm walivyo wastukia kuhusu jimbo la ubungo na kibambaHahaahahaah kumbe kuongeza wilaya ilikuwa mbinu ya uchakachuzi