Recent content by aliceanna

  1. aliceanna

    Edson Mabele wa kipindi cha Wallpaper - Star Tv

    Hafai huyo jamaa watubadilishie mtu hapo
  2. aliceanna

    Utaratibu unaotumika kuanzisha huduma ya maabara na zahanati binafsi

    Ukishanunua vifaa nenda kafanye kazi kwenye dispensary ya mtu km miezi mitatu ili upate experience, then njoo kwako ushike usukani gari liende.
  3. aliceanna

    Kadi ya mpiga kura - Hakiki taarifa kupitia simu yako

    Acheni kutapeliwa na namba za wezi wa mitandaoni ili kufanikisha goli la mkono, km umejiandikisha una wasiwasi gani subiri tarehe ukapige kura yako. Au nenda kituo uicjoandikisha ukuhakiki hapo kwenye daftari. Msije juta bure.
  4. aliceanna

    JKT leo asubuhi tumepewa pass mpaka Jumanne

    Poleni vijana mtamaliza tu msikonde, tena mjiunge na jeshi kabisaaa
  5. aliceanna

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Goli la mkono linahusika zaidi.
  6. aliceanna

    Kesho tukusanyike kwa uwingi Ufipa

    Ee Mungu tunusuru waja wako
  7. aliceanna

    ACT-Wazalendo wazomewa Shinyanga

    Siasa za kusaka tonge tu hizi.
  8. aliceanna

    Kero ya wanawake wanene kwenye usafiri wa umma

    Nina wifi yangu mnene na makalio yake anakalia seat mbili konda anamwambia alipie hana ubishi analipa kwa raha zake. Shida ni wakati anashuka hataki usumbufu wa dreva kuondoa gari haraka na akimharakisha anashuka kisha anaenda kwenye dirisha la dreva na kumnasa kibao cha nguvu na huwa anajiamini...
  9. aliceanna

    Watoto wenye wazazi 3 kuzaliwa karibuni

    Hii Sayansi ina mazuri na mabaya, tuangalie vzr kabla ya kufuata kitu. Changamoto za wa mama wakukodi bado ni nyingi. Sheria zikae vzr kwanza ndo tutumie hiyo sayansi.
  10. aliceanna

    Watoto wenye wazazi 3 kuzaliwa karibuni

    Dhambi tu hizo. Wapo busy na nini mbona wao walibebwa matumboni kwa wazazi wao. Ujue ubinadamu sasa kwisha, hata Mungu hawamuogopi?
  11. aliceanna

    Vijana wa Dar na Vibegi mgongoni

    Hivi kibegi cha mtu kabeba nini inahusu. Hata km hamna kitu si ni yeye. Wee jua life yako.
  12. aliceanna

    Kwanini mtu unapoingia kwenye daladala huwasalimii ulowakuta ndani?

    Kila mtu yupo busy na issue zake. Habari ya kusalimiana km hamfahamiani ni kupoteza muda tu na si ajabu usijibiwe au ukaonekana km unataka kumwibia au kumtapeli mtu ni bora kufuata yako kimyakimya. Km ni dame atahisi unamtaka wakati hana mpango.
  13. aliceanna

    Kila siku maisha ni afadhali ya Jana.

    Watanzania tuna rasilimali tele hivi ni kwanini sisi ni masikini?? Leteni hoja wadau.
  14. aliceanna

    Msoma habari ITV leo

    Ni Jacqueline Silemu. Huyu hajaiva bado kusoma taarifa, wangemuacha kwanza akusanye habari km Ufoo Saro. Nadhani kuna uhaba wa presenters.
  15. aliceanna

    Startimes wanatatizo gani na itv

    King'amuzi cha azam napata wapi?
Back
Top Bottom