aliceanna
Member
- Jul 21, 2014
- 31
- 4
Nina wifi yangu mnene na makalio yake anakalia seat mbili konda anamwambia alipie hana ubishi analipa kwa raha zake. Shida ni wakati anashuka hataki usumbufu wa dreva kuondoa gari haraka na akimharakisha anashuka kisha anaenda kwenye dirisha la dreva na kumnasa kibao cha nguvu na huwa anajiamini na u baunsa wake.