ACT-Wazalendo wazomewa Shinyanga

ACT-Wazalendo wazomewa Shinyanga

mm.kilicho ni kera sana ni wale makamanda wa shy ambao ndio walikuwa wahasichaji wazuri wa cdma shinyanga na kuaminiwa na wana shinyanga sasa nao wamegeuka na kuwasaliti wana wa shinyanga halali.yao kuzomewa aa

Dawa ya msaliti ni kumzomea
 
Mnyika haonekani wakati shughuli ipo dsm kwake..hapo napo wanasemaje
 
karuka tena karuka lakini hakufika ........ unkumbuka?too late to comply what said it is you....
 
tumwambie kamanda SLAA atuonyeshe ushahidi kwakile siku zote alituaminisha kuwa lowassa ni fisadi
Alipokuaminisha ndipo ukafanyaje? Bac ikiwa umechukia acha povu karuka tena karuka matunda hakufikia,sitaki mbichi hizi....
 
heshima kuwa kwa wana shinyanga kwa Mungu ni kuwazomea wasaliti
 
Katika zomeazomea Mkuu wa Chama naye alikuwepo au aliwatanguliza kupima upepo?
 
Narudisha rasmi kadi yangu najiunga safari ya matumaini
 
Back
Top Bottom