Recent content by ali rashidd

  1. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa number ya azam TV kin'gamuzi changu kimefungiwa

    Body
  2. A

    JamiiForums Tanzania Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

    Hajui hata anaongea nn Kaz ni kuporoja tu!
  3. A

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Mahakama ya Kadhi kutikisa Bunge

    Kwan serikal ya znzr ni ya kidini, ya kenya ni ya kidini, Uganda, uk nk Mbona wana mahakama ya kaadhi !kudai ni haki yetu hata hao wasijitambua akina nyinyi daini lenu c kupinga kibubusa huo ni ukiritimba!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha mafunzo ya JKT

    Je kuna ukwel! Halisi juu ya hili?
  5. A

    JamiiForums Tanzania EWURA: Bei ya umeme kupungua wakati wowote

    Haaahaaa kwl usilolijua litakusumbua! Naona hapa wengi wanasumbuka tu kufikiria lile jambo ambalo ni zito kutendeka! Ivi kwa kampeni gani, ubora gn, ushawishi gn walionao ukawa kuwashinda ccm! Ukawa bado sana tena sana tu! Kuchukuwa madaraka Hahaa waambieni wajipange sio kukurupuka! Man
  6. A

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Mahakama ya Kadhi kutikisa Bunge

    Hawa wakir kumbe ni wajinga kupindukia Yaan hawafai kabisa wanapinga kitu ambacho hawakijui hata kuelezea hata mstari mmoja et kutapuunzwa dini za wengine aaaaa wp! Nchi nyingi kuna mahakama ya kaadhi Mbona hatujasikia haya munayolalamika jueni kwanza nn mahakama ya kaadhi kisha ndio ulalamike...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hesabu za kawaida kabisa kuhusu UKAWA

    Bado sana ukawa
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Lipumba akamatwa na wafuasi wake, kisha waachiwa kwa dhamana!

    Hii imekua balaa yaani kila siku laana tu lkn one day yes! Bt tujiulize kila siku cc tu hii dhulma mpaka lini
  9. A

    JamiiForums Tanzania Bado tuna haja ya kuwa na muungano?

    hapa tunabwabwaja tu ila kiufupi ni kwamba serikali ikitaka lake ipe ucpoipa bc itachukua kwa mkono wako! mfano znzr ina watu wengi ambao hawataki kabisa kusukia ama kutaja muungano yaan wanauchukia kushinda mavi ya nguruwe ila kiukweli wanaambulia kipigo.
Back
Top Bottom