Bado tuna haja ya kuwa na muungano?

Bado tuna haja ya kuwa na muungano?

Kiriku

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
345
Reaction score
134
Naomba tuchangie bila kuwa na ushabiki wowote wa kisiasa kuwa bado tuna haja ya kuwa na muungano katika maeneo haya yafwatayo:-

1. Tanganyika tunafaidika na nini?
2. 21% ya ajira inakwenda Zanzibar kwenye wizara za muungano hii ni sawa kwa watu 2.8 million?
3. Kila siku wanalalamika kuwa tunawanyonya, je ni nani anamnyonya mwenzake?

Naomba kuwasilisha

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Wacha ifuge hiyo 21%, nikiwa mkubwa ntaanzisha harakati za uwiano wa ajira kwa kila mkoa kwenye taasisi za nyeti za umma.
 
Naomba tuchangie bila kuwa na ushabiki wowote wa kisiasa kuwa bado tuna haja ya kuwa na muungano katika maeneo haya yafwatayo:-

1. Tanganyika tunafaidika na nini?
2. 21% ya ajira inakwenda Zanzibar kwenye wizara za muungano hii ni sawa kwa watu 2.8 million?
3. Kila siku wanalalamika kuwa tunawanyonya, je ni nani anamnyonya mwenzake?

Naomba kuwasilisha

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
Kama wazenji wana nyongo, kwa maneno aliyowaambia Ally Kessy (MB), lazima watajifikiria upya kuhusu huo muungano wenyewe.
 
Binafsi nakubaliana kwamba hakuna haja ya muungano we get nothing out of it
 
Kama wazenji wana nyongo, kwa maneno aliyowaambia Ally Kessy (MB), lazima watajifikiria upya kuhusu huo muungano wenyewe.

Hawako 2.8M, ni 2.8% idadi yao ni 1.3M. Nimeona niweke records vizuri.
 
Naomba tuchangie bila kuwa na ushabiki wowote wa kisiasa kuwa bado tuna haja ya kuwa na muungano katika maeneo haya yafwatayo:-

1. Tanganyika tunafaidika na nini?
2. 21% ya ajira inakwenda Zanzibar kwenye wizara za muungano hii ni sawa kwa watu 2.8 million?
3. Kila siku wanalalamika kuwa tunawanyonya, je ni nani anamnyonya mwenzake?

Naomba kuwasilisha

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app

Hawako 2.8M, ni 2.8% idadi ikiwa ni 1.3M, ni kuweka records vizuri tu.
 
Naomba tuchangie bila kuwa na ushabiki wowote wa kisiasa kuwa bado tuna haja ya kuwa na muungano katika maeneo haya yafwatayo:-

1. Tanganyika tunafaidika na nini?
2. 21% ya ajira inakwenda Zanzibar kwenye wizara za muungano hii ni sawa kwa watu 2.8 million?
3. Kila siku wanalalamika kuwa tunawanyonya, je ni nani anamnyonya mwenzake?

Naomba kuwasilisha

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app

Kwa walioujua muungano walipokuja dar watasema hakuna haja lkn kwa sisi tunaoujua na tunayoyajua yanayotufaidisha wabara kutoka wazaznibar hatutaki muungano uvunjike,kwanza jina la TANZANIA litatoweka ktk dunia inabidi nchi izaliwe tena upya kitu ambacho kwa serikali ni hatari lkn kwa wewe mpiga kelele usiejua kitu utashabikia tu kuwa uvunjike,jengine ni kuwa madhali tuliungana na zanzibar lazima twende sawa kwani wakati tunaungana hatukujua km tunaungana na watu wachache kwenye wengi?lazima tuwe na uwiyano sawa,haiwezekani eti umeekeza na mwenzako sawa ktk biashara kisha uanze ooh mm nina watoto wengi mara mm mkubwa kuliko wewe mara wewe hujaoa huna familia mimi nina watoto mia,hii ni dhulma,tumekubali kuungana na zanzibar lazima tuwe sawa km jina la tanzania limepatikana kwa herufi sawa za tanganyika na zanzibar basi lazima tuwe wakweli tu kuwa kitu muungano popote duniani lazima kuwe na usawa.
 
Samahani mkuu hebu tufafanulie katika uchangiaji kwenye JMT napo kuna usawa? isijekua ni usawa kwenye kugawana kasungura bila kuangalia gharama za kukanenepesha. Kodi ya "watanganyika 43m" ikipelekwa JMT na kodi ya "wazanzibar 1.3m" nayo ikipelekwa JMT uwiano huo unauonaje mkuu.
 
TURUDISHE KWANZA TANGANYIKA hayo MENGINE TUTAJUA MBELE YA SAFARI .
 
Samahani mkuu hebu tufafanulie katika uchangiaji kwenye JMT napo kuna usawa? isijekua ni usawa kwenye kugawana kasungura bila kuangalia gharama za kukanenepesha. Kodi ya "watanganyika 43m" ikipelekwa JMT na kodi ya "wazanzibar 1.3m" nayo ikipelekwa JMT uwiano huo unauonaje mkuu.

Mkuu umemjibu vizuri sana kama anataka mgawanyo sawa basi na uchangiaji uwe sawa vile vile.

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Naomba tuchangie bila kuwa na ushabiki wowote wa kisiasa kuwa bado tuna haja ya kuwa na muungano katika maeneo haya yafwatayo:-

1. Tanganyika tunafaidika na nini?
2. 21% ya ajira inakwenda Zanzibar kwenye wizara za muungano hii ni sawa kwa watu 2.8 million?
3. Kila siku wanalalamika kuwa tunawanyonya, je ni nani anamnyonya mwenzake?

Naomba kuwasilisha

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app

Kwani Tanganyika ipo wapi ? Katika muungano huu ndo pale mnapoambiwa mmejificha kwenye koti la muungano na bado mnajitia uziwi na upofu.

Muungano ni wa nchi mbili zanzibar na Tanganyika zanzibar imejipambanua ina serikali yake inajiendesha na bado ichangie ya muungano na ya tanganyika iliojificha ndani ya muungano .

Kwanza jitoweni mafichoni muwe hadharani halafu tujadili hoja .

Kwani zanzibar iliungana na nani ? Yupowapi huyu mshirika wa muungano ? Tatizo mnajitowa fahamu yenu yanakwenda .
 
Muungano upo kwa sababu unalindwa na CCM na lengo kubwa ni kuwawezesha watoto wa Karume na Mwinyi kuendele kufaidi matunda ya nchi hii kwa upande wa Zanzibar na huku bara ili watoto wa hawa vigogo wa CCM waliopo sasa na wale walitangulia mbele ya haki isipokuwa watoto wa Nyerere na Sokoine lakini wale wote ambao baba zao walikuwa upande wa mafisadi ndio wanaotakiwa kuendelea kututawala.
 
Kwani Tanganyika ipo wapi ? Katika muungano huu ndo pale mnapoambiwa mmejificha kwenye koti la muungano na bado mnajitia uziwi na upofu.

Muungano ni wa nchi mbili zanzibar na Tanganyika zanzibar imejipambanua ina serikali yake inajiendesha na bado ichangie ya muungano na ya tanganyika iliojificha ndani ya muungano .

Kwanza jitoweni mafichoni muwe hadharani halafu tujadili hoja .

Kwani zanzibar iliungana na nani ? Yupowapi huyu mshirika wa muungano ? Tatizo mnajitowa fahamu yenu yanakwenda .

Mkuu hata tutakapoamua kuwa na serikali 3 bado tatizo litakuwa ni lile lile itakapofika wakati wa kuchangia fedha kwenye wizara za muungano kwa Zanzibar bado itakuwa ni tatizo na itabidi kubebwa na Tanganyika, solution hapa ni 2 either serikali 1 au kuvunja muungano period.

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
hapa tunabwabwaja tu ila kiufupi ni kwamba serikali ikitaka lake ipe ucpoipa bc itachukua kwa mkono wako!
mfano znzr ina watu wengi ambao hawataki kabisa kusukia ama kutaja muungano yaan wanauchukia kushinda mavi ya nguruwe
ila kiukweli wanaambulia kipigo.
 
Back
Top Bottom