Mleta Uzi rudi shule ulizosoma ukadai ada yako.
Nani kakudanganya kuwa mwalimu anafukuza mwanafunzi?
Wanaofukuza wanafunzi ni kamati/bodi ya shule
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadiriki kusema kuwa MTU anayesema kuwa mtaji wa sh mil.10 hautoshi kuanzisha biashara.
Kwa mawazo yake sijui ni sh ngapi zitatosha kuanzisha biashara.
Mi nilianzisha biashara kwa sh laki 3, hadi sasa biashara yangu ina kama bidhaa za sh laki 8. Mdogomdogo nakimbiza
Sent using Jamii Forums...
Jamani mi naona uelewa wangu hauendani na kasi ya wana jf.
Mi naona kaweka mafuta pamoja na simu. Ubaya hapo uko wapi kutangaza biashara au there is something behind?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.