Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,264
- 4,740
nilidhani unamzungumzia Gilman Rutihinda3. Hivi unaweza kutueleza nini Kikitokea baada ya Gavana Nyilabu alipokwenda kutibiwa nje ya nchi na kufariki dunia?
nilidhani unamzungumzia Gilman Rutihinda3. Hivi unaweza kutueleza nini Kikitokea baada ya Gavana Nyilabu alipokwenda kutibiwa nje ya nchi na kufariki dunia?
mtei. Unamfahamu aliyewahi kuwa Gavana wa BOT enzi ya utawala wa Hayati Mwl Nyerere?
Kwahiyo unapendaga au haupendagi?Yawezekana hata gavana unaetaka kumsema humfahamu kabisa, katika kamusi ya kiswahili hakuna neno ''vinakuwaga'
....Kwa disipachi!kumpelekea nyumbani kwake ukampatia mkononi.
Amesomea nursing? Yule ni Dr Antony Diallo,uliona wapi nesi mwanaume?Now I can see the light. Diallo alikuwa mwanafunzi wa nursing miaka ya 80s hapo Bugando, hakumaliza chuo tukasutukia anaanzisha Sahara iliyokuwa inatengeneza birika ma majiko ya umeme..... Ukiuliza huyu amepata wapi utajiri huu unaambiwa alikuwa mchoji na aliupata Maganzo...... Naachia hapa niendelee kusoma
Ni bora ungeanzisha tu huo uzushi,kwa sababu hata wewe unajua Dr.Diallo hatakujibuNaomba kuuliza maswali kadhaa kwa Ndugu Anton Dialo.
1. Unamfahamu aliyewahi kuwa Gavana wa BOT enzi ya utawala wa Hayati Mwl Nyerere?
2. Unaifahamu kampuni iliyokuwa inafanya biashara ya vifaa vya umeme wakati ikiitwa SAHARA Communication?
3. Hivi unaweza kutueleza nini Kikitokea baada ya Gavana Nyilabu alipokwenda kutibiwa nje ya nchi na kufariki dunia?
Yangu ni haya tu nikijibiwa ndo nitaazisha mjadala. Na hata kama sitajibiwa nitaazisha pia ili kuna Janbo tulijue kuhusu mtu huyu aliyetutangulia mbele za haki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh mkuu usiwe unabisha kama hujui, nesi wanaume wapo wengi tuAmesomea nursing? Yule ni Dr Antony Diallo,uliona wapi nesi mwanaume?
Lazima ataisoma tuKama yumo humu.... akisoma comment yako, anaweza akaamua kuacha kazi...![]()
![]()
Lazima ataisoma tuKama yumo humu.... akisoma comment yako, anaweza akaamua kuacha kazi...![]()
![]()
Hakumaliza nursing bugando! Mengine yakoAmesomea nursing? Yule ni Dr Antony Diallo,uliona wapi nesi mwanaume?
Najua mkuu,nimesema hivyo makusudi,nimekumbuka vijijini wengi hufikiri nesi ni mwanamke halafu Dokta ni meantime, huko nyuma tuliaminishwa kuwa huyu jamaa ni PhD holder hadi Bwana Msemakweli alipomuumbua kwenye ile list ya mafisadi wa elimu kumbe jamaa ni nesi aliyetoroka mafunzoniDuh mkuu usiwe unabisha kama hujui, nesi wanaume wapo wengi tu
Gavana wa BOT by the hakusaidii kitu, kama mnajua CCM mnapeana tenda, siyo enzi za Nyerere tu hata sasa Nyumba kubwa inalishwa na SYLVESTER KOKA, alikuwa mbunge wa CCM kibaha.Naomba kuuliza maswali kadhaa kwa Ndugu Anton Dialo.
1. Unamfahamu aliyewahi kuwa Gavana wa BOT enzi ya utawala wa Hayati Mwl Nyerere?
2. Unaifahamu kampuni iliyokuwa inafanya biashara ya vifaa vya umeme wakati ikiitwa SAHARA Communication?
3. Hivi unaweza kutueleza nini Kikitokea baada ya Gavana Nyilabu alipokwenda kutibiwa nje ya nchi na kufariki dunia?
Yangu ni haya tu nikijibiwa ndo nitaazisha mjadala. Na hata kama sitajibiwa nitaazisha pia ili kuna Janbo tulijue kuhusu mtu huyu aliyetutangulia mbele za haki.
Sent using Jamii Forums mobile app
dah , ndo naskia leo toka kwako, kwamba kwa akili zako za makalioni huko MATAGA mnajua NESI LAZMA AWE MWANAMKE? aisee,Amesomea nursing? Yule ni Dr Antony Diallo,uliona wapi nesi mwanaume?
Kwanini haya hamuyasemi kabla ya mtu kuvuka mistari yenu ya upumbavu ???? Embu waacheni watu waseme ukweli bwanaNaomba kuuliza maswali kadhaa kwa Ndugu Anton Dialo.
1. Unamfahamu aliyewahi kuwa Gavana wa BOT enzi ya utawala wa Hayati Mwl Nyerere?
2. Unaifahamu kampuni iliyokuwa inafanya biashara ya vifaa vya umeme wakati ikiitwa SAHARA Communication?
3. Hivi unaweza kutueleza nini Kikitokea baada ya Gavana Nyilabu alipokwenda kutibiwa nje ya nchi na kufariki dunia?
Yangu ni haya tu nikijibiwa ndo nitaazisha mjadala. Na hata kama sitajibiwa nitaazisha pia ili kuna Janbo tulijue kuhusu mtu huyu aliyetutangulia mbele za haki.
Asante jajiGavana wa BOT by the hakusaidii kitu, kama mnajua CCM mnapeana tenda, siyo enzi za Nyerere tu hata sasa Nyumba kubwa inalishwa na SYLVESTER KOKA, alikuwa mbunge wa CCM kibaha.
Tenda zaidi ya 95% huwa ni za kupeana .
ABOOD mbung wa CCM miaka zaidi ya 20 sasa mabasi yake ndiyo tu yanabeba kamati za bunge, nchi nzima.
CCM ni ile ile, like father like son.