Kesi ya Wakili Fatuma Karume dhidi ya afisa wa polisi imefikia wapi?

Think about it.

Kama Fatma Karume anasema anaweza kuwakilishwa na mawakili wasomi 29 tofauti katika kesi moja, kwa nini Tundu Lissu ashindwe kuwakilishwa na mawakili wawili tofauti katika kesi mbili?

Na kwa nini mtu ashangae Tundu Lissu kuwakilishwa na wakili mwingine wakati Tundu Lissu ni Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika na Mbunge machachari wa CHADEMA anayejuana na mawakili kibao?

Kuna mawakili wanaona kupata kesi ya kumtetea Tundu Lissu ni jambo lafahari katikarekodi ya uwakiliwao, na hivyo nafasi hiyo hapaswikuachiwa mtu mmoja tu, inabidi izunguke ili wengi wapate ku shine katika glory ya kumtetea Tundu Lissu.

Sasa kama hayo ndiyo maoni yao, tatizo liko wapi?

Kwani wakili wako ni mkeo useme uwe naye huyo huyo tu?

Hata huyo mke mbona wenzetu Waislamu wanaruhusiwa kuwa nao hata wanne?

Sijaelewa mantiki ya hilo swali bado.
Achana naye huyo anajua ukweli anaamua tu kujitoa fahamu
 
Hii kesi imeishia wapi?
d7e1bf0ab228ca3c75c9915cbdeb2cea.jpg



Pia jifunze kuwa Lissu ana mawakili zaidi ya mmoja kila wakili anapangiwa kesi yake tofauti na wewe ukizabwa tu kakofi kabla ya kumuona wakili unaanza kumpigia simu kwanza Bae Nchemba.
 
Wakuu JF,

Kwa wenye kumbukumbu sawa mtakumbuka jinsi Fatuma Binti Amani Karume alivyojitosa mzobemzobe kwenye sakata la dhamana ya Tundu. Hata hivyo baada ya sakata hilo kuisha akaishia kudai fidia ya shilingi bilioni moja ya fidia dhidi ya askari wa jeshi la polisi Tanzania huku akija na tishio la kuajiri mawakili ''wasomi'' 29 kupambana mahakamani ili kujipatia bilioni yake bila shida.

Baada ya tukio hili la juzi kukamatwa Tundu sijamuona akitia neno wala kukanyaga mguu kwenye viunga vya polisi wala mahakama kuu. Je nini kimempata mara hii?
Kwa kesi ipi hadi Wakili msomi Fatma Karume asaidie, kesi yenyewe imeshajifia.
 
Amesafiri kwenda CANADA kuiwakilisha mahakamani Kampuni inayoidai Tanzania Bilioni 87.

Mtoto mshenzi huyu ngoja makabuli ya baba yake Amani yafukuliwe tuone jeuri yake. Ameshiba pesa za baba yake ambaye alikuwa na viwanja vyote vizuri Zanzibar, kandarasi zote za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar zilikuwa chini ya himaya ya Amani na Fatma kiongozi sasa ule ufalme hana ndio anaishia kutukana Serikali iliyopo madarakani.

Mbona wakati wa baba yake hakuwa anafanya hivi haya anayoyafanya sasa hivi anafikiri baba yake alikuwa malaika?
Kutumia keyboard bila kuunganisha ubongo matokeo ndiyo unatumwagia hapa.
 
Back
Top Bottom