Msaada: Namna ya kuandikishiana mkataba wa bodaboda

2in1

JF-Expert Member
Mar 29, 2014
213
225
Habari ,
Wakuu ipo hivi "nataka nifanye biashara ya pikipiki(bodaboda) kwa mkataba yani nampa dereva pikipiki awe ananiletea sh 10000 kwa kila siku then baada ya mwaka mmoja inakua yake, hapo gharama za matengenezo mbalimbali pamoja na sevices zinakua juu yake yeye.

Kwa hiyo kwa hizo siku 365 za mwaka nategemea kupata kiasi cha shil mil 3.5"
Sasa wakuu mimi ni mgeni kwenye haya mambo yani sina idea yoyote juu ya hii mikataba inavyokua so nimeamua niwaletee ndugu zangu humu JF munipe hints mbalimbali kama format ya mkataba na pia.

Mambo muhimu ambayo yanatakiwa yawepo ndani ya huo mkataba pia vitu vya kuzingatia wakati wa kuandika na mahali pa kuandikishiana mkataba.

NB: Naelewa kua biashara ya bodaboda ina faida kidogo na ina changamoto nyingi,naifanya tu kwa sababu ninazozijua mwnyewe!

Thanks.
 
bwii

JF-Expert Member
May 24, 2014
1,220
2,000
Jina lake kamili, kiapo cha yeye kupokea pikipki kutoka kwako,regstration number za pikipki,tarehe ya mkataba kuanza na kumalizika, masharti ya mkataba kama atatengeneza yy ikiharibika, atalipa fine kwa makosa yote ya barabarani bila kuathiri marejesho, akishindwa kulipa marejesho kwa kipindi flan eg.

One week atavunja mkataba with no compasation.ikiibiwa atailipa mpya. Baada ya mkataba kuisha utamkabidhi pikipki na kadi yake original. Bado itabaki ni mali yako kabla ya mkataba kuisha. NB. Hakikisha ina vibali vyote kabla haijaingia barabaran. Mengine utaongezea.
 
ommy15

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
641
1,000
Usimkatishe tamaa mwenzako nmejenga kwa biashara ya bodaboda,nilianza na mbili na sasa nnazo 5 na bajaji 3 kwa kipindi cha miaka 6 na nnampango wa kuwa na kampuni ya usafirishaji na ndio ndoto yangu. Bila mia huweza pata milioni.
Nchi inatakiwa kuwa na watu kama wewe wengi ilitufanikiwe. Kuna waty wapokutatisha wenzao tamaa na wapo pale pale kimaisha kila siku. Watu wametoka kwa boda boda na bajaj

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2in1

JF-Expert Member
Mar 29, 2014
213
225
Jina lake kamili, kiapo cha yeye kupokea pikipki kutoka kwako,regstration number za pikipki,tarehe ya mkataba kuanza na kumalizika, masharti ya mkataba kama atatengeneza yy ikiharibika, atalipa fine kwa makosa yote ya barabarani bila kuathiri marejesho, akishindwa kulipa marejesho kwa kipindi flan eg. One week atavunja mkataba with no compasation.ikiibiwa atailipa mpya. Baada ya mkataba kuisha utamkabidhi pikipki na kadi yake original. Bado itabaki ni mali yako kabla ya mkataba kuisha. NB. Hakikisha ina vibali vyote kabla haijaingia barabaran. Mengine utaongezea.
Poa bro asante sana,imenisaidia sana hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwampepe

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
322
250
Jina lake kamili, kiapo cha yeye kupokea pikipki kutoka kwako,regstration number za pikipki,tarehe ya mkataba kuanza na kumalizika, masharti ya mkataba kama atatengeneza yy ikiharibika, atalipa fine kwa makosa yote ya barabarani bila kuathiri marejesho, akishindwa kulipa marejesho kwa kipindi flan eg. One week atavunja mkataba with no compasation.ikiibiwa atailipa mpya. Baada ya mkataba kuisha utamkabidhi pikipki na kadi yake original. Bado itabaki ni mali yako kabla ya mkataba kuisha. NB. Hakikisha ina vibali vyote kabla haijaingia barabaran. Mengine utaongezea.
Nimekupenda bure
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom