Wanasheria wamgomea Tundu Lissu

Wanasheria wamgomea Tundu Lissu

polisi walikua sahihi sana kumtaka lissu apimwe mkojo
 
Sio mawazo ya Lisu ni mapendekezo ya TLS na hata kama TLS wangesema waanze jtatu mngesema kuwa Lisu kachagua siku ya kesi yake ili asiende mahakamani. Akili za maccm changanya na za bashite
asiende mahakamani vipi wakati huko amekufanya kuwa jimboni kwake.
 
Jibu ni moja huyu ni selfish. Anajali muda na maslahi yake lakini sio ya wanacham na wateja wa wanachama wake
 
Du! watu hamkosi sababu jamani kwani j4 na j5 zina nini? Halafu kwani hayo yalikuwa maamuzi yake binafsi au walikaa kama kamati?
 
Ulivyo akili ndogo unadhani maazimio ya TLS ni mawazo ya lisu pekee,baraza la uongozi la TLS ndilo lililoamua na sio lisu
 
Kichwa cha habari na,vilivyomo ndani Tofauti...Pumzika mzee kama huna la kuongea.
 
Nimejaribu sana kuangalia harakati za Tundu Lissu toka alipoingia Ubunge kila tamko analolitoa lazima lilete mtafaruku na migongano ya kimtazamo ndani ya Serikali na kwa jamii ya watanzania!

Ni kweli kabisa nia yake ni nzima Katika kuhakikisha nchi inakuwa na amani?

Au anajenga vijana na wanainchi kwa ujumla kuwa watu wa visasi na kutotafuta AMANI ya nchi.

Kama ni suala la Haki ni Haki gani hasa ambayo kila siku yeye ndiyo anaitafuta kwa wanainchi?

Hakuna Wanasheria au Mawakili au Wabunge wengine wasio na uchungu na Tanzania isipokuwa Tundu Lissu tu?
 
Back
Top Bottom