1. Je hizi Clone zenu zinaweza kuhide Charting na kupiga password kuzuia mtu mwingine asione wala kujua kama kumewahi kuwa na charting.!?
2.Je kwa simu yenye line mbili zinaweza kutumika kwa wakati mmoja kupitia namba mbili tofauti lakini kwenye simu moja.!?
HIV haiambukizwi kirahisi hivyo.BTW sio kila malaya ana ngoma kama unavyodhani.
Kwahiyo punguza presha kijana endelea kula malaya bila kusahau Kondomu.
Alikuwa yupo sahihi kabisa, pengine unapaswa kumshukuru kwa kuokoa maisha yako, maana kwa jinsi ninavyowafahamu FFU wanaolinda benki hakika wangewatwanga risasi na mngepewa kesi ya ujambazi.Kwa tukio hilo mlionekana mmefanya njama ili ku draw attention zao na nyie mfanye mambo yenu ya ujambazi...
Nimewahi kumuona wa hivyoo.Nilipata shaka sana.Nilimuuliza mara nyingi lkn hakusema.
Vishimo vinakuwa pembeni ya tako zote mbili.Hiyo nahisi ni Fake hakika mpk leo sijalata jibu lakini ni kalio moja amazing ajabuuu yaani mubashaaraaa.
Ila sio dimpozi kwakweliii
Mnyika yuko wapi.Maana yule ndiye alifanikiwa kumtaja Jkikwete bungeni huku tukimuona live na kutujulisha kuwa mkwere ni Dhaifuu.
Sasa kimekuja chuma hikii ukijifanya much know unakula Ban hapo hapoo ulipo..!!
Soko la ajira halipo hivyo siku hizi.Hawaangalii BAF au BCOM, kama ni financial institution especially Bank(CRDB) wao wanaangalia GPA za juu tena kwa waliowahi kufanya Field kwao.
Nawafahamu jamaa zangu kadhaa wenye BAF ambao wako CRDB kwa sasa walikuwa na GPA nzuri na walifanya Field hapo pia...
Hahhaaha yule yupo porini huko Hombolo anasema.Afu mambo ya kubet mi siyataki mtu hata hujui sura yake wala shepu yake.
Aisee "that is too much risk to bear..", mabaharia tunaangalia mzigo show kwa show..!!
Salamuuuu..!!
Inafika muda unajaribu kuhesabu idadi yao unakuta unafika 300+, unaogopaaa unajishangaaa unajisema hawa ni watu etiii, unakumbuka zile takwimu zao kuwa wakiwa 10 basi mmoja wao kaathirika.Ukiweka uwiano kwa ulipopita unagundua hakuna namna unaweza kuwa hujakutana na walioathirika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.