alexmahone
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 482
- 406
- Thread starter
- #41
Rubbish...Sasa umeandika uzi ili iweje? juha wewe
Sasa unapata hasira za nini..!? Weeh jamaa maisha yako yatakuwa ya stress sana.Kwani kuna aliyekulazimisha kusoma.!?
Rubbish...Sasa umeandika uzi ili iweje? juha wewe
Ndani ya masaa 72 kwa asilimia zaidi ya 90 itazuia infection... huwa zinatolewa hasa kwa wahudumu afya wakihisi kuwa contaminated na virus... ila ni sawa na ARV isipokuwa zenyewe hutumika kwa siku 28. Zaidi ya 72 zinaweza zisikukingeHii PEP inaweza kuua virus Kama havijaingia kwenye damu?
SI mpka ujue ulietembea ni muathirika au?Ndani ya masaa 72 kwa asilimia zaidi ya 90 itazuia infection... huwa zinatolewa hasa kwa wahudumu afya wakihisi kuwa contaminated na virus... ila ni sawa na ARV isipokuwa zenyewe hutumika kwa siku 28. Zaidi ya 72 zinaweza zisikukinge
Mwezi uliopita tulifanya semina ya ukimwi, sasa tukashautiwa tupimepalepale kwa atakaetaka
Baada ya kupima na kukuta mambo safi, nilijiapiza nitakuwa natumia kondom kwa nisiyemjua.
Mi hayo madude sijui kwa nn, huwa hayapandi kabisa, nikivaa tu ila namaliza kuvaa nikipanda hivi kabla ua kuingiza inalala fofofo, hadi nioge na sabuni kabisa ndo mnara usome. Mafta yake yana athari sana na ngozi yangu
Hahhaaha yule yupo porini huko Hombolo anasema.Afu mambo ya kubet mi siyataki mtu hata hujui sura yake wala shepu yake.
Aisee "that is too much risk to bear..", mabaharia tunaangalia mzigo show kwa show..!!
siku nikipata time ya kwenda dodoma ntafanya kujionea iko kivutio🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️Rubbish...Sasa umeandika uzi ili iweje? juha wewe
Lakin inabid ujue kondom inazuia mimba tu
Diana SpencerKwa mwanamke unafanyaje?
Ukufanikiwa kutana na yule dada wa dodoma maana nasikia yuko available ni wewe na dushe lako na kifutq jasho
Ahaaaa kwa stly yake ya sasa kutaka nauli kabla atompata mjanja yoyote
Badala ya kumshukuru Mungu unashukuru Condom, hatari kabisa
Hongera bado kidogo ila izo dawa hata week mbili toka uanze kutumia zinatosha kutoa majibu ya positive au negativeNipo kwenye PEP mkuu siku ya 20 sasa, ingawaje mm ilikuwa ni hofu ya kuambukizwa kupitia mate... MaDr walikuwa wanagoma kwamba ni impossible ila mm naelewa the chance was their coz it was direct contact kati ya mate kwake na michubuko kwangu at last wakanipa hayo madonge, mziki wake haukuwa wa kitoto siku za nwanzo... now am counting 8days
AiseeeMm Sio mshabiki wa ndomu na nikiitumia lazma niivue...natembea na vipimo kwa emergency mnapima kwanza akigoma unamuacha aende...