Recent content by alexkulwa

  1. alexkulwa

    Ndalichako: Marufuku wasio na sifa kujiunga na masomo ya shahada kwa kupitia kozi za'foundation'

    Napata shida kidogo kukuelewa mleta maada.. Au mm ndo uelewa wangu mdogo. Kwenye hyo speech kaongelea Foundation course ndo sio sifa ya kujiunga na chuo kikuu..Diploma inahusiana vipi na foundation course?. Sifa ya mtu kujiunga na chuo kikuu ni awe amefaulu form 6 au awe na GPA ya 3.0 kwa...
  2. alexkulwa

    Rais Magufuli, katiba mpya, na Umoja wa Mataifa

    Sawa wote ni binadamu but tofauti yao magu ni rais na seif ni kiongoz wa cuf. Anachofanya magu kinatuhusu watanzania lazima tukiongee. Anachofanya seif kinawahusu wana cuf sio lazima tukiongee.
  3. alexkulwa

    Rais Magufuli, katiba mpya, na Umoja wa Mataifa

    Hiv speech writers wa bwana mkubwa siku hiz wana kazi kweli?..mana all the time akiongea anaenda off script..
  4. alexkulwa

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Natafakari sijaelewa mfano wa Dr slaa.."Ukichukua kinyesi chooni na kukihamishia chumbani, chumba kitageuka kuwa choo na hakifai kuishi mana kina harufu kali."..Je kwa mawazo ya Dr ni bora tuhamie kuishi chooni ambako ndo sehemu maalum ya kinyesi na kitaendelea kushushwa kule kila siku au...
  5. alexkulwa

    Msaada: Kwa wakaz wa Arusha milani digital vs azam tv

    Jaman nimehamia arusha hivi karibuni hvyo basi naomba kujulishwa kwa mtu ambae ametumia milani cable pamoja na azam tv kipi ni bora. Ntashukuru kwa msaada kabla sijaamua nachagua nn.
  6. alexkulwa

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Muundo wa serikal 3 that means baada ya hii katba kuandikwa Tanzania bara inabid tuanze mchakato mwingine wa kuandika katba ya Tanzania bara kama zanzbar walivyo na katiba yao? Ebu niweken sawa hapa wanajamvi
  7. alexkulwa

    March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    12:36AM #IEBCOfficalTally : Uhuru 3,528,041 #Raila 3,358,921 kitu ruo inakuja juu now gap 170,000.
  8. alexkulwa

    March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    07:42 AM. Uhuru 2,210,632 Raila 1,558,936 #IEBCOfficialTally
  9. alexkulwa

    March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    there is no way Raila ataongoza. nachoweza ombea kama shabik wa odinga ni kupunguza gap ili uhuru awe below 50% twende duru ya pili ya uchaguz.
  10. alexkulwa

    Police na Njama kuzuia maandamano makubwa kesho

    Vzuri tutafika tu ata iweje
  11. alexkulwa

    How to unlock Huawei sonic U8650 phone

    wadau mwenye utaalam wa ku unlock hiz simu mpya za huawei U8650.znauzwa tigo na znaingia line ya tigo pekeyake
  12. alexkulwa

    Udom direct entry

    katika kudahiliwa chuo kna category 3. 1. direct entry-waliomba kwa matokeo ya frm 6. 2.equivalent- waliomba kwa matokeo ya dip au any othr qualifications 3. mature age entry. haijarish umeomba kupitia wap hzo ndo categories. km uliomba kwa matokeo ya form 6 u belong to direct entry.cjui km...
  13. alexkulwa

    Je, unampa JK asilimia ngapi za uongozi bora?

    1% mana cjaona v2 vya msingi alivyofanya
  14. alexkulwa

    Baada ya matokeo ya Igunga, CUF itoe tamko rasmi kwa wanachama wake

    we ndo umetoa comment bila kutafakari.ni progress ipi cuf yameifanya bara km co kuporomoka kisiasa.nachowashauri cuf wang'oe nanga bara wabaki zanzbar huku hawapawez
Back
Top Bottom