Recent content by alexander lukungu

  1. A

    Sasa mbona ananisumbua?

    da dada ee jifunze kwa mtini,nakupa mf,na ukuongoze utoe maamuzi,kuna dada mmoja huku iringa aliolewa na mwanamume akakaa miaka kama 5au 6 hivi bila mtoto,basi mumewe akawa anampiga sana na ndugu wanamtukana na kumdhalilisha sana ,ati hazai,hatimaye wakamfukuza aende kwao,kumbe tatizo la uzazi...
  2. A

    Usibishe huu ndo ukweli

    HELLO MADAMU,UKO SAHIHI,WATAALAMU WA PSYCHOLOGY WANAASEMA HIVI WATU WAFU WENGI WAO HAWANA AKILI,AF HUWA HAWANA SIRI,HAWAJIAMINI,KWAHIYO WANAWAKE WALIOWENGI HAWANA AKILI ZA KUTSHA,WENYE AKILI NI WACHACHE SANA,NAJUWA MTACHARUKA NAKUTUKANA ,NASEMA WENYE AKILI NI WACHACHE SANA DUNIANI,BAHATI YANGU...
  3. A

    Does body count matter?

    DUDE,KWA MUUJIBU WA MAANDIKO KATIKA BIBLIA,MWANAMKE AKITEMBEA NA WANAUME ZAIDI YA WA TANO(5) HUYO ANAITWA KAHABA AU MBWA,MIMI NINGEULIZA NIWE NAUHAKIKA KAMA NIKAWAIDA AU KAHABA,KWA BAHATI NZURI MIMI NILIBAHATIKA VIRGIN LADY,KAMA NA WEWE NI CASANOVA YOH4;17-18
  4. A

    Hivi hii ni jina la Eliza kwangu lina laana gani?

    DUDE,SIYO LAANA,NDO BAHATI YAKO,NA MIMI JE AMBAYE TANGU NAZALIWA SIJAWAHI KUWA NA MWANAMKE MPENZI WANGU AMABAYE SIYO BLOOD GROUP "O" NA NIMEWAHI KUWA NA WAPENZI ZAIDI YA 120 TANGU NIZALIWE to my different walks of life,na nilipotaka nijitahidi nisipate wa grupu lisilo "O" bado nilipata aina...
  5. A

    Waraka: Mambo ya hovyo yanayofanywa na serikali, viongozi wa dini mko wapi?

    DUDE,VIONGOZI WENGI HAWANA NGUVU YA MUNGU,maana kama wangekuwa na nguvu ya Mungu,ilikuwa nikupiga marufuku kuingia kwenye ibada yoyte tena wangekubaliana kama kiongozi au mtumishi wa umma mwenendo wake siyo mzuri katika kutumikia wananchi au ufisadi au kukumbatia uhalifu au kuvunja katiba...
  6. A

    Magari 50 ya wagonjwa yote kupelekwa kanda ya ziwa, hii imekaaje?

    Dude usiwe nashaka yote nitanzania,subiri uone ymisada yote itakuwa inapelekwa huko tu ndipo useme lolote,kama nikuiokoa kanda ya ziwa SOMA RIPOTI HII ,ajiokoae atajiangamiza,na ajiangamizae kwajili ya BWANA yaani watu wa Mungu,atajiokoa LUKA17:33 SOMA PIA RUMI2:11 KWA MUNGU HAKUNA...
  7. A

    Baa la njaa: Handeni maembe yawa chakula kikuu

    DUDE,kauli zako sitaki kusema ni aina gani ,watu wengine wangesema ni aina ya dunderheadism,maembe siyo stepple food,ni moja ya vyakula vinavyoangukia katika fungu la matunda, hivyo kusema nani kasema maembe siyo chakula, napata shida kuhusu mwalimu aliyekufundisha BIOLOJIA,kwamba watu...
  8. A

    Ni sahihi Mh. Rais kuzungumza lugha ya kabila lake katika mkutano wa hadhara?

    dude usife moyo,mbona alichaguliwa na mangosha,
  9. A

    Sijawahi kutukanwa matusi haya toka nizaliwe, ila mzazi mwenzangu kaweza

    DUDE POLE sana,rafiki yangu,mpendwa wangu,hawa viumbe utende wema ufanye ndo wakuthamini ni ngumu, ninapo andika uzi huu,mimi pia ni mhanga,tena afadhali mwenzzangu bado,unaye hapo,mimi mwenzako sina mke na nimeishi naye miaka 27 kwa ndoa halali kbisa,mwenio nilambulia kumwambia arudi nyumbani...
  10. A

    Dkt. Slaa: Ninapokubaliana na kutofautiana na Magufuli

    Dude DR Silaa,ni mwana siasa,anaongea mawazo yake,kwakuwa saahizi hata angekuja nani aseme yanayotendeka nchini tanzania,hakutaleta mabadiliko yoyote,kwani wameanza leo kutoa hoja zao nzito na nuri,linapokuja swala la siasa inabaki siasa,hakuna mabadiliko,nimesema Dr Silaa,ni mwanaa...
  11. A

    Hivi huku ndo kuinyoosha nchi au ilikuwa ni chuki tu?

    DUDE, HIZO ni TANGU 12,safi sana unajitahidi kwenda DATA,Lazima watu wa sisiem watambue watu yote wanayowatendea watanznia tunayo kwenye BACKGROUND,SASA rafiki yangu dude,umeacha tangu zingine hizi ,kwamba tangu aingie kwenye mapingilini huyu,uwongo umezidi,kumbuka alisema ndani ya miezi...
  12. A

    Baba Kikwete uko wapi???

    dude,ulifurahiya sana nchi kuingiliwa na ugaidi,mijadala ya kidini ili dini moja iitawale dini nyingine kwa kodi ya walipa kodi wadini zote,ulifurahia ,ulifurahia mahakama za kidini zijadiliwe katika bunge la jamhuri ya muungano wakati nchi hii haina dini ila watu wake ndo waabudu Mungu na...
  13. A

    Kwanini replacements zote ni UDSM?

    DUDE,uko sahihi, sana katika history memory maprofesa, ma -dokta,katika nchi hii walioshika wizara mbalimbali,walidororesha sana wizara zao,(af dude woote unawakumbuka,wataje)AS A RESULT THEIR LEGACY AND HISTORY MEMORY TO THIS COUNTRY HAS DWINDLED DRASTICALLY, ukienda kimataifa,obama mwenyewe...
  14. A

    Rais Magufuli: Namshukuru Waziri wa Nishati na Madini kwa kutengua upandishaji wa bei ya umeme

    Dude uko sahihi kabisa,na ndo maana EWURA wameacha kuitumbua,kwasababu kupandishwa huko kulikuwa kuna tija kwa serikali,wengitumbua na EWURA tungejua walikuwa hawana habari na kwamba labda EWURA NA mkurugenzi wa TANESCO,waliwazunguka,lakini chambilecho,wamesoma political WIND VANE,wakakuta...
Back
Top Bottom