Does body count matter?

Does body count matter?

Utajuaje sasa maana unadhani ukimuuliza atakutajia tu' ooh we ni wa 9
 
Hivi kwa mwanamke kulala na wanaume wengi kunamfanya asiwe ''wife material''?

Ikiwa hivyo, basi wanaume wengi wameoa wanawake ambao sio wife material
 
Greetings
Kuna hili swala linakuwa discussed sana na vijana sehemu mbali mbali. Je kama wewe ni mwanaume, does body count matter unapomchagua mke wako? Kwa wanaume walio kuwa kwenye ndoa, ulimuuliza mwenza wako alilala na wanaume wangapi kabla yako wewe?
Ni idadi ipi iko normal and acceptable na ipi sio? is it 5, 10?
Kuna msemo unasema mwanamke ni kama swimming pool ukiamua kuogelea we ogelea tu usiulize nani na nani walioga humo kabla yako
 
Sasa kama wife material inakuwaje wanaume 99 asipatikane huyo husband?
Kwa wanaume wengi, ngono ni sehemu ya starehe. Mwanamke aweza kutoa mwili wake akidhani bf yupo serious na future, kumbe anapima 'oil' tu.
 
Neno la akiba kwa akina dada, jibu la swali hili lazima uligawanye kwa 10 kwanza, wala usikurupuke.
 
Kichekesho ni kuwa tunaishi kwenye dunia hii hii moja na majaribu tunayopitia ni sawa lakini wanaume wanataka kutukuta hatujaguswa. Hii imekaaje?
 
Kwa wanaume wengi, ngono ni sehemu ya starehe. Mwanamke aweza kutoa mwili wake akidhani bf yupo serious na future, kumbe anapima 'oil' tu.
Huwezi kupimwa oil na watu 99 halafu ukajiita wife material, waoaji wangekuona hata hujafikisha 10.
 
Kichekesho ni kuwa tunaishi kwenye dunia hii hii moja na majaribu tunayopitia ni sawa lakini wanaume wanataka kutukuta hatujaguswa. Hii imekaaje?

Yaani as much as women hate it ila thats nature. It can't change
 
Yaani as much as women hate it ila thats nature. It can't change
The good part of it, we live in the world of being independent, no one should submit to one another. If you love me take me the way I'm.
 
Greetings
Kuna hili swala linakuwa discussed sana na vijana sehemu mbali mbali. Je kama wewe ni mwanaume, does body count matter unapomchagua mke wako? Kwa wanaume walio kuwa kwenye ndoa, ulimuuliza mwenza wako alilala na wanaume wangapi kabla yako wewe?
Ni idadi ipi iko normal and acceptable na ipi sio? is it 5, 10?
DUDE,KWA MUUJIBU WA MAANDIKO KATIKA BIBLIA,MWANAMKE AKITEMBEA NA WANAUME ZAIDI YA WA TANO(5) HUYO
ANAITWA KAHABA AU MBWA,MIMI NINGEULIZA NIWE NAUHAKIKA KAMA NIKAWAIDA AU KAHABA,KWA BAHATI NZURI MIMI NILIBAHATIKA VIRGIN LADY,KAMA NA WEWE NI CASANOVA YOH4;17-18
 
Sasa kama umefikisha miaka 50 hujaolewa, hata kama ulikuwa na boyfriend mmoja kila baada ya miaka mitano, wengine walikufa na wengine walikuacha utafikisha tu hao watano.
 
Hivi huyo mwanamke analala na akina nani ? Tuanzie hapo kwanza ,wewe mwanaume ukitaka kitu ambacho sio used na wewe jitunze kwanza, sio unawavua wadada ovyo halafu unategemea kitu original unavyochezea mengine ndivyo na mkeo mtarajiwa anavyovurugwa huko na madume mengine mabadiliko yaanze na wewe
 
Madam, let me just ask this.
Wewe does it matter kujua idadi ya wanawake your partner has slept with?

Hii topic ina reflect on both cases
It doesn't matter kwasababu nkijua inanisaidia nini?
Mwisho wa siku unabaki roho juu juu........ Kwangu mimi naona his past is over maana hata kwenye mpira kabla ya fainali kunakuaga na vimazoezi mazoezi so hao walikua part ya zoezi wapogo tuuuu lazima wawepo lkn haifai kujua idadi yao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom