Recent content by aleez

  1. A

    Bunge laazimia kumsulubu Makonda

    Naomba muongozo watu wa sheria, Hivi bunge likimuazimia mh. Makonda linaweza kumfanyaje endapo litampata na hatia ya linalomshutumu?? Maana naona kama Mh. Makonda yupo mbali nao na kumuwajibisha ni mbali au hata hawamgusi Naombeni msaada ili nielewe tu.
  2. A

    Ushauri wenu, kapata zero nataka nimrudishe form two

    Ninadogo kamaliza form 4 kapata 0 wadau nataka kumrejesha form 2 yeye anahitaji form 3 mnaweza nisaidia ushauri wenu?? Nini nifany3
  3. A

    Walimu mchague viongozi wa madarasa wenye stamina!!!!

    Utafanyaj3 na kazi ya masimang0 umeitaka
  4. A

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NIPO MOROGORO TUBADILISHANE 0719051265
  5. A

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NIPO MALINYI MORO VIPI UPO RADHI??
  6. A

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NJOO MOROGORO NIJE SINGIDA,TABORA,DODOMA IDARA YA SEKONDARI SIMU 0719051265
  7. A

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NJOO MALINYI-MOROGORO NIRUDI KWETU WILAYA YOYOTE SINGIDA SIMU:0719051265
  8. A

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalim wa shule ya sekondari wilayani Malinyi mkoani morogoro nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae kituo alie TABORA AU SINGIDA Tuwasiliane 0719051265
  9. A

    Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Kila matatizo kagera,ukimwi kagera,tetemeko kagera,mnakijiji kinaitwa katerero na mto ngono!!!
  10. A

    Techno d1;ni simu zinazosumbua mtandao usinunue

    malalamiko ya techno d1 nying sana nilizouza
Back
Top Bottom