Huwenda ajira zikatolewa 2019 kwa dalili nazo ziona

mkapwa1990

New Member
Oct 4, 2016
3
4
Maana kwa taarifa za chini ya kapeti kuwa bado wana shughulikia walimu walio jiendeleza wa cheti na kupata diploma na degree ,kuamishiwa sec school ndio waangalie wanapelea kwa kiwango kipi ndio watoe ajira,,sasa huo mchakato huwenda ukachukua hata mwaka ,,kinacho bidi waweke tuu wazi kuwa hawatoi ajira hadi 2019 tujue na tuwe wazi..
 
Mimi nadhani kwa hali hii tusiwe na matumaini ya ajira hivi karibuni, maana hali si shwari hata kwa wauguzi na madaktari.
 
Serikali yangu haitakuwa ya mchakato, je ktk hili suala la ajira Halina mchakato? Wameshatuchosha na michakato yao, waweke waz watu wajue kuliko kukaa kimya kama hawajui mahitaj ya ajira kwa vjana!

Wamechukua vyeti vya walimu sayansi 2015 hafu kimya, watakuja tena matamko yao ya kijnga kjnga!
 
kwa taarifa yenu. ule uhakiki wa vyeti kwa walimu wa sayansi ulikua ni kwa ajili ya kuombea kura ktk uchaguzi mdogo. waliogopa kutopewa kura kutokana na kutotoa ajira za walimu wa kuwafundisha watoto wa wa wanyonge ktk kata husik,. so wakaamua kujifanya wako sensitive na swala la ajira, kumbe ni uongo. huyu ndalichako na magufuli wanaoshirikiana kufanya 'uasi' ni watu wabaya sana kwa taifa letu.
 
Inawezekana kabisa.
 
Back
Top Bottom