Ushauri wenu, kapata zero nataka nimrudishe form two

aleez

Member
Feb 3, 2014
46
7
Ninadogo kamaliza form 4 kapata 0 wadau nataka kumrejesha form 2 yeye anahitaji form 3 mnaweza nisaidia ushauri wenu?? Nini nifany3
 
Ninadogo kamaliza form 4 kapata 0 wadau nataka kumrejesha form 2 yeye anahitaji form 3 mnaweza nisaidia ushauri wenu?? Nini nifany3
Anatakje form three

Kutokana na NECTA kigezo cha kufanya mtihani wa form four kama school candidate ni matokeo ya form two

Hapo anapaswa ali seat form four afanye kama private candidate LAKINI kama anataka kufanya kama school candidate NI LAZIMA narudia tena NI LAZIMA arudie form two ili apate namba mpya!
 
Ninadogo kamaliza form 4 kapata 0 wadau nataka kumrejesha form 2 yeye anahitaji form 3 mnaweza nisaidia ushauri wenu?? Nini nifany3
namshauri akaanze form two kama alikuwa anasoma masomo yote (art +science) ; BUT kama hali -opt( aliacha sayansi arudi form one sababu kwa muji wa waziri wa elimu Prof.j ndalichako hakuna kuchagua masomo kwa watakaoingia form forur kuanzia mwakani ( ambao wapo form 3 mwaka huu)
 
niwe tofaut na wenzangu, mfundishe biashara ndogo ndogo yaan ujasiliamal kwa ujumla, au fan nyingne yoyote ile, kama vile ufund umeme, udereva, mpeleke geregi nahakika baada ya miaka 3 ataleta matokeo mazur na utafrai. akikataa ndo mpeleke form two. gharam za kumtoa form two had form 4, zngetosha kufanya moja kat ya hayo nlyokushaur.
 
kumbuka na age ni tatizo, hakimaliza form 4 akiwa na umri mkubwa hata kama amepass haendi form5 ya government
 
Yaani amepata zero halafu unataka umrudishe tena aendelee kusoma? Mwanafunzi aliyepata zero kabsaa form 4 ama ni bongolala bin kilaza ambaye hafahamu kabisa au hataki shule kabisa. Labda nikuulize kwani ni lazima arudie mpaka afaulu form four? Kwanini usimpeleke VETA akaanze kusomea ujuzi tu?
 
Kama ni lazima arudi shule basi changanua kwanza changamoto zilizopelekea yeye kupata Div.0 kisha uzitatue. Vinginevyo atafeli tu tena so ni bora umuwahishe VETA.
 
Kitu pekee ulichokosea ni kutotaja umri wake, ana miaka mingapi?

Mtu aliyepata O ata akirudia usitarajie apata III.

Ana miaka mingapi kwanza?
 
Back
Top Bottom