Walimu mchague viongozi wa madarasa wenye stamina!!!!

Mahondaw

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
67,019
168,057
Si Kwa mzigo huu jamani!

TMPDOODLE1485604492995.jpg
 
Me nilikua nawaambia wakusanye wenyewe hukoo ofisini sitaki tabu,
Ya nini kuchoshana wakati tunalipa ada sawa!!!
 
Ukiranja wa darasa ulikua na changamoto zake kwa kweli. Mi shule ya msingi nlikua mpole sana na sikua na nguvu za kupigana, na kwa makusudi kabisa wakanchagua monitor. Sasa ole wangu niwaandike watemi wa darasa kwenye list ya wasumbufu. Ijumaa tukitoka nlikua nakoma. Changamoto nyingine ilikua kuchagua wafagia darasa
 
Huu ujinga wa kusahisha daftar nying labda huko private bt serikalin mwalimu kusahisha daftar ni uamuz wako hakuna wa kukulazimisha.
 
Back
Top Bottom