Hiv Mkuu wa Mkoa, RAS, DAS, REO mko wapi kushughulikia mambo haya?

mamba1

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
466
248
Wilaya ya Urambo inapatika mkoa wa Tabora ambapo kuna shida kubwa juu ya Uongozi Wa Afisa elimu na taaluma kwa kuendekeza uhuni kwenye taaluma ya vijana wetu.?
Kuna thread ilianzishwa miaka kana miwili ijimuelezea mkuu wa shule moja inayopatikana maeneo ya Ussoke yaaani Uyumbu high school. Huyu mkuuu wa hapa yalielezwa matatizo yake yote yakiwemo ya Ushirikina kwa waalimu wenzake na kusababisha waalimu wawili kufariki dunia, waalimu kufanya kazi chini ya kiwango, Ufisadi uliokubuhu kwenye pesa za chakula za wanafunzi wa kidato cha 5&6,Kuwahonga mkurugenzi maafisa elimu hivyo kuwaweka mfukoni, Kutumia mabavu kama akimtaka mwalim wa kike nanilazima atoe nyapu asipotoa mmmhhh! Yatakayomkuta anaweza kuhadithia huko Mbingu atakakopelewa.
Baaada ya tuhuma hizo kumkabili aliundiwa tume na ikabainika kalibia 96% ya mambo yaliyozungumzwa ni ya kweli. kwahiyo Mwalimu alihamishwa akapelekwa kiloleni kama mkuuu wa ahule katika mtindo ule ule kama alivyozoea akawapa hongo mkurugenzi wa wilaya na maadisa elimu sekondari kwa kisingizio kwamba hawezi kukaa mbali na familia yake.Kwahiyo akatumia hila na hongo akahamishiwa matwiga secondary. Mkuu aliwkuwepo matwiga akahamishiwa Chetu. Mkuu huyu ambae alihamishiwa matwiga secondary kutoka uyumbu na kiloleni alipofika shuleni kwa mara ya kwanza walimkataaa kwani walikuwa wamesha sikia mengi juuu yake. Waalimu kwa Umoja wao walimgomea mkuu wa shule mpya na wakadai mambo ma2,
1.Kuondolewa kwa mkuu wa shule huyo na aletwe mwingine.
2.kuhamishwa kwa waalim wote na mkuu wa shule abaki aongoze shule na afundishe kianzia form 1 up to 4.
Hayo makubaliano walikubaliana katika vikao vyao na maadhimio yakikao yakapelekwa kwa mkurugenzi.
Siku moja baaadae timu ya wilayani ilivamia shule pamoja na mkuu wao wanaemlinda kuitisha kikao cha dharura na kuongea yafuatayo.
1mkuu wa shule atabaki shuleni hapa katika hali yoyote ile ama kwa wenyewe waache kazi wote au wahame.
2.walisema kwamba mkuu wa shule alyeletwa hapa alikuwa mkuu wa shule katika shule ziliZopita kwahiyo hawezi kuwa chini ya mtu.
3.Pia walisisitiza mkuu wao apewe ushirikiano, asipopewa na akamripoti mwalim ujue kazi hana.
Mwisho wakawatakia kazi njema na kurudi halmashauri.
Baada ya kuondoka watu wa halmashauri kilixhofuata ni vitisho kwa waaalim mpka ikawa kero kosa lolote linaenda kuamriwa bomani. Hali hiyo iliwaxhosha baadhi ya waalimu na hivyo kupelekea baadhi ya waalimiu koumba kuresign.Na baadhi ya wanafunzi walianza kuinotice ile hali kwani walikuwa hawajaizoea.
Hivyo wakaandamana mpk ofisi za wilaya na kueleza nini kimewapeleka pamoja na shida zao nyingine.Hivyo waliwajibu kwamba watakuja kulishugulikia huko huko shuleni. Wanafunzi wakarudi kwa amani nawakaendelea na masomo.Viongozi wa halmashahuri wakaja siku moja na wakachafua hali ya hewa baadhi ya wanafunzi wengi wakasimamiahwa masomo na waalimu wakalimwa barua. Hivyo baadae ilileta hasira kwa wazazi wa wanafunzi hao hivyo kuandamana wanafunzi na wazazi wao mpaka halmashahuri. Baada ya hapo waalimu karibia sita walihamishwa shule na kutupwa vijijini kama adhabu.
My take;
☆Hivi siku hizi tunaenda wapi REO,MKUU WA MKOA, WILAYA, KATIBU TAWALA mko wapi? Elimu yetu inaendelewa kuchezewa na wa watu kwa maslahi yao?
♡#Ndalichako [HASHTAG]#Simbachawene[/HASHTAG] [HASHTAG]#Jaffo[/HASHTAG] [HASHTAG]#Kairuki[/HASHTAG] mko wapi mwalimu mmoja anawahamisha kwa hila wenzake?
¤HIVI IMEFIKIA HATUA MTU MMOJA KUIWEKA HALMASHAHURI KWENYE MFUKO KUANZIA MKURUGENZI.

*HIV HAWA MAAFISA ELIMU besisila, Balugayale Rudia kwanini wameigeuza ofisi kama saccos ya matumbo yao ? Yaaani imekuwa sasa hivi ni kuwahonga tuu ili wakupatie nafasi ya kuwa mkuu wa shule ?
~Kwanini wamekuwa wakiwashusha wakuu wa shule vyuo na kuwaweka watu wanao wahonga hili nimelishuhudia mwenyewe wakihongwa pesa na kuku mayai ngombe mbuzi na ili kuwaweka kwenye vyeo vyao.
[HASHTAG]#Wametuhumiwa[/HASHTAG] kuongwa na kuzigeuza nyumba zao kuwa maofisi.
*kwanini hawa watu hawajijibishi pamoja na kuwa na skendo nyingi.?
Ni mwalim kada
 
Wanamlinda huyo Mkuu wa shule kwa sababu ya ukabila, ofisi imejaa Wahaya na Wajita, ili upate haki idara ya elimu sekondari lazima uwe Muhaya au Mjita, na kama sio hayo makabila 2 uhonge Pesa, watu wana vigezo Hawapewi shule, kisa sio kabila lao, Hasa huyu Bhalugahale ndio anaua Elimu Urambo, ni muongo, mnafiki na majungu tu ndio kazi anazojua, kila siku ni kutoa maagizo yasiyoisha, nyaraka hatunzi yeye ni kupelekewa nyaraka kila Siku, Urambo, fumueni idara ya elimu Sekondari Urambo, Walimu wamechokaa Urambo.
 
Back
Top Bottom