Tumeshazoea kuona wapambe na viongozi wa ccm wakitukana na kuwakashifu wanao wahama, ila wajue cdm hakina majungu. M4C ili kuongeza wanachama na wapiga kura kukiwezesha 2015 kushika dola
gfsonwin, acha ujinga. kwani hiyo gas imekaa hapo miaka mingapi? acha iendelee kukaa na kwasababu ccm isha kufa 2015 serikali ya chadema itaichimba na kuiproses hapo ilipo, wanamtwara na watanzania wote watafaidika. mbuga za wanyama zingekuwa zinaamishika zote zingeamia Dar
we kuwa na busara, niache kuombea baba na mama yangu wawe na maisha marefu, nimuombee baba rizwan awe na hekima ili aneemeshe familia yake, itakuwa ni upumbav
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.