utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Watanzania hawawezi kuunga mkono magaidi, hiyo ni ndoto ya mchanakama hadi tanga wamekubali mabadiliko, hakika 2015 ni mwaka wa ushindi kwa watanzania dhidi ya madhalimu mafisadi CCM.
Watanzania hawawezi kuunga mkono magaidi, hiyo ni ndoto ya mchanakama hadi tanga wamekubali mabadiliko, hakika 2015 ni mwaka wa ushindi kwa watanzania dhidi ya madhalimu mafisadi CCM.
Unajuaje wewe?
Kiwanda cha uongo na uzushi, tz daima/dumuzi. Watu wa tanga wana akili timamu hawawezi kudanganyika ht siku mojaCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Tanga kimepata wanachama wapya zaidi ya 300.
Wanachama hao wamepatikana katika mikutano ya hadhara iliyofanyika katika wilaya za Handeni, Muheza na Korogwe uliohutubiwa na Katibu wa chama hicho Mkoa wa Tanga, Jonathan Bahweje.
Wanachama 220 wamejiunga na chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kijiji cha Kwengoma, Kata ya Kwamatuku, Wilaya ya Handeni na wanachama 71 ni kutoka Kibanda, wilayani Muheza.
Wanachama wengine 21 akiwamo mwenyekiti wa serikali ya kitongoji cha Turiani, Bakari Kimea walijivua uanachama wa CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kwashemshi, Wilaya ya Korogwe.
Wakizungumza katika mikutano hiyo baada ya kujiunga na CHADEMA, walisema wameamua kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa kimeshindwa kuondoa kero zinazowakabili kwa miaka mingi.
Miongoni mwa kero hizo kwa mujibu wa wananchi hao ni unyanyaswaji unaofanywa na viongozi wa serikali za vijiji, kunyang'anywa ardhi, kero ya maji na kuvunjiwa mikataba na muwekezaji.
Source:Tanzania Daima Jumanne
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Tanga kimepata wanachama wapya zaidi ya 300.
Wanachama hao wamepatikana katika mikutano ya hadhara iliyofanyika katika wilaya za Handeni, Muheza na Korogwe uliohutubiwa na Katibu wa chama hicho Mkoa wa Tanga, Jonathan Bahweje.
Wanachama 220 wamejiunga na chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kijiji cha Kwengoma, Kata ya Kwamatuku, Wilaya ya Handeni na wanachama 71 ni kutoka Kibanda, wilayani Muheza.
Wanachama wengine 21 akiwamo mwenyekiti wa serikali ya kitongoji cha Turiani, Bakari Kimea walijivua uanachama wa CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kwashemshi, Wilaya ya Korogwe.
Wakizungumza katika mikutano hiyo baada ya kujiunga na CHADEMA, walisema wameamua kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa kimeshindwa kuondoa kero zinazowakabili kwa miaka mingi.
Miongoni mwa kero hizo kwa mujibu wa wananchi hao ni unyanyaswaji unaofanywa na viongozi wa serikali za vijiji, kunyang'anywa ardhi, kero ya maji na kuvunjiwa mikataba na muwekezaji.
Source:Tanzania Daima Jumanne
Hoja za CHADEMA siku zote hazibadiliki kuanzia mwenyekiti wao hadi wapambe wao walioko humu Jf na hata wale wanaojidanganya kuwa kero zao zitaondolewa na mtu mwingine au chama fulani badala ya kufanykazi kwa bidii kwa kutumia fursa zilizopo.
Umeshasahau 4 - 0Watanzania hawawezi kuunga mkono magaidi, hiyo ni ndoto ya mchana
Source:Tanzania Daima
nitatizo,janga la tasinia ya habari
Source:Tanzania Daima
nitatizo,janga la tasinia ya habari
Neno 'hayati' linasound kama nini na maana yake nini?Okay. Ila neno zizima linasound kama zimika/didimia. Mwenye Kamusi ya Kiswahili, please!
Kubambika kesi wapiganaji na kusafisha magamba wenzao.Safi sana, wao wanahangaika na kubambikia raia kesi, CHADEMA inapiga kazi tu, safi sana ma kamanda kuendelea kuwavua magamba na kuvalisha gwanda...
Source:Tanzania Daima
nitatizo,janga la tasinia ya habari
Hawa wanachama hata kadi huwa hawalipii. Wengi ni kama mamluki.
kama hadi tanga wamekubali mabadiliko, hakika 2015 ni mwaka wa ushindi kwa watanzania dhidi ya madhalimu mafisadi CCM.
Kiwanda cha uongo na
uzushi, tz daima/dumuzi. Watu wa tanga wana akili timamu hawawezi
kudanganyika ht siku moja
Chadema ni nguvu ya soda tu,
We mwenyewe ni ccm damu, unaandika cdm lakini kimoyomoyo unaitaja ccm chama dume