Recent content by alcoholistic

  1. alcoholistic

    JamiiForums Tanzania Kwako Waziri wa Afya: Matatizo matatu ya Hospitali ya Muhimbili na Mloganzila ni haya

    Hii imekaa kimajungu sana. Sasa unataka dactari au nesi ajifunzie wapi? But ngoja nikushauri coz hujui dactari mwanafunzi lazima maandishi yake yapitiwe na Dr. Bingwa so shukuru kuonana na mwanafunzi coz hapo utamwona bingwa
  2. alcoholistic

    JamiiForums Tanzania Kwako Waziri wa Afya: Matatizo matatu ya Hospitali ya Muhimbili na Mloganzila ni haya

    Kufanya kazi private ni kama mwalimu kwenda shambani baada ya kazi so huwezi kumpangia nini afanye baada ya kazi
  3. alcoholistic

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na mawazo ya kuacha chuo. Nifanyeje?

    Kama vipi nipm maana unaweza kunisaidia nipo 5th year MD Ila natamani kuacha chuo kabisa
  4. alcoholistic

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha U.T.I

    Jibu rahisi what is U.T.I then waache siasa màana utapotosha watu ku- centrifuge mkojo Na kuangalia kwenye microscope 72hrs? Akirudia paper LA medicine ( lab) ameshadisco tayari
  5. alcoholistic

    JamiiForums Tanzania Tumekupa milioni 5 ndani ya miaka 3 utakuwa umezalisha kiasi gani?

    Itakuwa mkaa Kwa alivyochanganua tu
  6. alcoholistic

    JamiiForums Tanzania Ipi nafasi ya vyama vya wafanyakazi katika utetezi wa hali zao!?.

    Najaribu tu kufikiri labda in mentality ya ualimu maana waliopitia ualimu kabla ya upresdaa basi wafanyakazi walikiona cha moto
  7. alcoholistic

    JamiiForums Tanzania Virusi na UKIMWI ni ugonjwa feki? Kuna kitu sielewi...

    Fahamu kwanza CD4 & CD8 how they work Usipende kulishwa maneno ya kitaa
  8. alcoholistic

    JamiiForums Tanzania TUCTA kujadili kima cha chini cha mshahara 2019

    Napendekeza tucta ifutwe ili hiyo 2% irudi kwenye mshahara wa mfanyakazi
  9. alcoholistic

    JamiiForums Tanzania Maajabu: ‘Mwanamke’ Ampa Mimba ‘Mwanaume’, Ajifungua

    Just pass through Kwa kitu kinaitwa ( DSD). Disorder of sexual development. Hata bongo wapo maadili hayaruhusu kapicha Ila tuna deal na needs ya client coz both sexes anazo ila ni under developed kama ni mb** ni kibamia sana kama k**a ni tundu Dogo tu
  10. alcoholistic

    JamiiForums Tanzania Kwa Ruge sawa kwa Ndesamburo hapana

    N Nadhani huyu ndio amenena jambo wengine blablaaaa nyingiiiii (TISS) Haya acheni maswali ya ajabuajabu au mnataka kutangaziwaaaaa
  11. alcoholistic

    JamiiForums Tanzania Kumbe UKIMWI una dawa, au huyu dokta alikuwa anatuzuga?

    Soma kitu kinaitwa post exposure prophylaxis (PEP) na taratibu zake utaelewa In short ukimwagikiwa na damu ya mwathirika wa HIV au ukajichoma na kitu chenye ncha Kali kama sindano aliyotumia MTU mwenye virus unatakiwa umpime kuthibitisha kama anao na we we upime kuthibitisha kuwa huna ndio...
  12. alcoholistic

    JamiiForums Tanzania Nataka kuifungulia mashtaka hospitali kwa kusababisha kifo cha mtoto

    X-ray,ultrasound kwani inachukua hata Massa mawili mzee? Ila mshahara haujapanda toka 2015 so sometimes wanaumia wengine But pole
  13. alcoholistic

    JamiiForums Tanzania Nataka kuifungulia mashtaka hospitali kwa kusababisha kifo cha mtoto

    Daaah! Pole sana Lakini pia siku hizi ujuaji mwingi sana hapo ilitakiwa dactari afungue tumbo na aangalie ndani kuna mini kumsaidia mtt ila utasikia hata vipimo havijachukuliwa kwahiyo na madactari walikuwa wanasubiri vipimo ndugu
Back
Top Bottom