Kumbe UKIMWI una dawa, au huyu dokta alikuwa anatuzuga?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,586
15,369
Jamaa anasema...
Ukizini leo ndani ya masaa sita ukaanza dozi ya siku kama ishirini na nne hivi Virusi Vinakufa.
Ukizini na mtu anayetumia dawa za ARV kwa Uaminifu hakuna ukimwi hapo maana virusi vitakuwa vimezidiwa ujanja viko mafichoni na damu yake inakuwa safi.
Ukimwagigiwa na damu ya Muathilika ikachangamana na Yako, ukiwahi kunywa kinga namba moja hapo unapona.

Huyu jamaa alikuwa anasema mweli, au na yeye ni agent wa kutuua kwa ngoma. Mbona shule ya msingi tuliambia KIRUSI HAFI.
 
Soma kitu kinaitwa post exposure prophylaxis (PEP) na taratibu zake utaelewa
In short ukimwagikiwa na damu ya mwathirika wa HIV au ukajichoma na kitu chenye ncha Kali kama sindano aliyotumia MTU mwenye virus unatakiwa umpime kuthibitisha kama anao na we we upime kuthibitisha kuwa huna ndio utaanza kutumia PEP for 28 days
 
Back
Top Bottom