basiri
Senior Member
- Aug 31, 2018
- 172
- 159
Jamani nimesitushwa na habar za ma gazeti juu ya ugojwa wa UTI
always tunapima ugojwa huu kila mara na ndani ya saa ushapata majibu
Leo hii eti wazir wa afya anasema hakuna kipimo cha UTI kinachotoa majibu ndani ya masaa mawili maana yake ni kwamba huwa tunadanganywa kuwa tuna UTI ?
Msaada wenu naona kama imenivuruga habar hiyo