Nasumbuliwa na mawazo ya kuacha chuo. Nifanyeje?

Mi niliingiaga chuo na expectations kubwa sana toka mtaani kwamba Udsm bonge la chuo..... Kufika pale nikakutapa kiboya tu basi nimemaliza miaka mitatu pale kimagumashi sana hadi majina ya malecture nilikua sijayakariri yani nilikua naenda class nikijiskia tu ila pepa lazma nipige....

Sina cha kukumbuka chuo
 
Nilishapitia Kipindi kama chako mdogo Wang, niliacha kuingia class kama mwezi mmoja hivi
Muhimu watafute watu wazima na viongoz wa dini uwaeleze nahisi wanakitu cha kukusaidia .Usiache kuomba Mungu kwa imani yako. Usiache kufikiria malengo yako
Kama vipi nipm maana unaweza kunisaidia nipo 5th year MD Ila natamani kuacha chuo kabisa
 
Why uache chuo wakati upo 5th year ?
Are you serious?
Mimi nahisi kwa ww tafuta viongozi wa dini wakuombee even though unasomea Medical doctor , ni course nzuri yenye future ya kujiajiri hata kuajiriwa ukipenda.
Hutakiwi kuacha umepoteza muda na pesa alafu uachie njiani Mimi MD msoto wake nahufahamu haswa hasa mwaka 2,3,4 wa tano siyo sana kama hapo kati.
Anyway Muombe Mungu sana. Because unamwitaji sana kipindi hiki

Thanks
 
Ili tatizo linanichanganya sijui chanzo ni nini ninasoma chuo ninamaliza mwaka wa kwanza nasumbuliwa na mawazo ya kuacha chuo tangu nimeanza chuo chenyew lakini nikifanya mitihan nafauru vizuri sana sijui shida ni nini ila moyo wangu unapenda kabisa kusoma.

Nikaenda kusomewa kuraani nikaambiwa darani tu nachezew,nikaenda kanisan nikaambiw bibi angu kachukua nyota yangu kawek kwenye kaniki yan nazidi kuchanganikiewa kwasababu mwakan inabid nije niendelee na diploma naifikilia hii hali itakuwaj kwa mwaka wa pili
Kanisani wamekwambia bibi yako amekuchezea?
Aisee hilo kanisa hama mara moja linaendeshwa kishirikina hilo
 
It happens...Mkuu unaweza kugawanya modules..ukasoma part time..labda module moja kwa mwaka...ukifanya hivyo utapata muda mwingi wa kufanya shughuli nyingine kama vile kujiajiri au kuajiriwa. Mwisho baada kama ya miaka mitano utakua na cheti chako na hakijakuathiri mipango yako,.. kuwa ukitimiza malengo yako yote kwa mpigo..utapata a sense of accomplishment..usiache shule ndugu..itakusumbua ..mawazo labda ningesoma nisingekua hapa...hayatakuisha kichwani mwako..na sioni sababu ya kutofanya yote kwa pamoja
 
Mi naamini kwanza ukichezewa hata hichi ulichoandika tusingekiona,mana usingeweza kutambua hilo,
Alafu acha kuaminisha akili yako kuwa kuna kamchezo unafanyiwa,
Nnachoamini may be kuna shinikizo la hiyo hali.
Futa hayo mawazo as long as unapata ada kwa wakati na hakuna kinachokukwamisha, we piga kitabu
 
Acha ujinga dogo
Ili tatizo linanichanganya sijui chanzo ni nini ninasoma chuo ninamaliza mwaka wa kwanza nasumbuliwa na mawazo ya kuacha chuo tangu nimeanza chuo chenyew lakini nikifanya mitihan nafauru vizuri sana sijui shida ni nini ila moyo wangu unapenda kabisa kusoma.

Nikaenda kusomewa kuraani nikaambiwa darani tu nachezew,nikaenda kanisan nikaambiw bibi angu kachukua nyota yangu kawek kwenye kaniki yan nazidi kuchanganikiewa kwasababu mwakan inabid nije niendelee na diploma naifikilia hii hali itakuwaj kwa mwaka wa pili
 
Kama unashughuli(ajira) ya kufanya Na unapata hela nzuri acha chuo kaifanye maana at the end of the day tunasoma ili tupate ajira Na hela nzuri

My opinion😷😷
 
Back
Top Bottom