Uongo ni mwingi hapo Nchi hii watu wote wanajua wenye tabia ya kubadili namba za magari ni kina nani nchii unakutana na gari ya mwaka 2021 ina namba A hiyo imekuwa kawaida ya vyombo vya usalama... Hapo tumezugwa na baada ya leo hutaisikia tena keai hiyo
Mkeo hajadhamiria kuhama ndio maana mpaka.sasa hajaoata uhamisho japo wewe unaona mmepigana sana,
Suluhisho ni gumu ni wewe kuamua kuacha kila kitu na kuhamia aliko mkeo... ninuamuzi mgumu lakini kama unaitaka hiyo ndoa hilo ndio suluhisho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.