Recent content by alberto230

  1. alberto230

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kisheria unayotakiwa kuyajua kabla haujaamua kumuoa Single Mother

    Uchelewi kulipishwa fidia umeiba mke wa mtu au sio,
  2. alberto230

    JamiiForums Tanzania Je kuna tukio lilishawahi kukupa depression

    Kutoka kwenye henken hadi sungura, nipo hapa nawasikiliza.
  3. alberto230

    JamiiForums Tanzania Hakuna jipya chini ya jua

    "Aibu ya maiti aijuaye mwosha"
  4. alberto230

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuacha tabia chafu usizozipenda

    7. Eti jipe zawadi unaposhinda "nisipokunywa week nzima hiyo weekend nikifungulia bomba kama dawasco vile"
  5. alberto230

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tupo na wewe
  6. alberto230

    JamiiForums Tanzania Wahenga walikosea sanaa

    "Aliyekuwa juu mngoje chini" hapa tulipigwa
  7. alberto230

    JamiiForums Tanzania Update Mbali mbali za kazi Ambazo ni Skilled na Unskilled

    Uzi umekimbiwa
  8. alberto230

    JamiiForums Tanzania Ni bank gani tanzania mtu akifa basi pesa zake zitabakia kwenye account kama zilivyo?

    Cha muhimu kuwatesa tu wanaotegemea hela za marehemu. Wakati unakata roho unasema "kwenye bank kuna kuna mia mia" unakata roho Wateseke kidogo na wakukumbuke kumbuke.
  9. alberto230

    JamiiForums Tanzania Tanzania kinara wa mabilionea Afrika Mashariki - Ripoti

    Shamba la bibi
  10. alberto230

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Kuchat, ushawahi kutoa boko kama hii?

    Ongeza meseji nyengine chini "Fanya mpango wa kama 50000 hivi kaka si unajua uyu ndie shemeji wako wa kweli sitakiwi nimwangushe nipo hovyo braza" Kesi nyepesi sana hii meseji ilikua inaenda kwa rafiki yako au bro wako
  11. alberto230

    JamiiForums Tanzania Make money. Make a lot of it, and you will realize some rules are for the poor

    "Unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako" Hii nayo nasikia ni kwa masikini tu.
  12. alberto230

    JamiiForums Tanzania Ukiona watoto wa ndugu zako hawakuheshimu basi ujue hao ndugu zako wanakusemaga vibaya watoto wao wakiwa wanasikia 😥

    Kama unatumia kileo piga tu kila mtu apambane na life lake na matatizo yake
Back
Top Bottom